Kila unachoshika kimepanda bei, ngano elfu 50, simenti elfu 21, Rais Samia tusaidie

Kila unachoshika kimepanda bei, ngano elfu 50, simenti elfu 21, Rais Samia tusaidie

saidoo25

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2022
Posts
624
Reaction score
1,456
Wananchi wameamua kupaza sauti kulalamikia kupanda kwa gharama za maisha kutokana na kuwepo kwa mkubwa wa bei za bidhaa mbalimbali na kumuomba Rais Samia aingilie kati kuwanusuru.

 
Tatizo mko mbali sana wanetu wa Shinyanga mfuko wa cement hapa DAR ni 15,000 hadi 16,000 ikitegemea aina ya cement unayonunua

Gharama za usafiri zinawacost sana
 
Back
Top Bottom