saidoo25 JF-Expert Member Joined Jul 4, 2022 Posts 624 Reaction score 1,456 Sep 19, 2022 #1 Wananchi wameamua kupaza sauti kulalamikia kupanda kwa gharama za maisha kutokana na kuwepo kwa mkubwa wa bei za bidhaa mbalimbali na kumuomba Rais Samia aingilie kati kuwanusuru. Your browser is not able to display this video.
Wananchi wameamua kupaza sauti kulalamikia kupanda kwa gharama za maisha kutokana na kuwepo kwa mkubwa wa bei za bidhaa mbalimbali na kumuomba Rais Samia aingilie kati kuwanusuru. Your browser is not able to display this video.
M Mzee wa kupambania JF-Expert Member Joined Aug 14, 2022 Posts 21,111 Reaction score 53,092 Sep 19, 2022 #2 Tatizo mko mbali sana wanetu wa Shinyanga mfuko wa cement hapa DAR ni 15,000 hadi 16,000 ikitegemea aina ya cement unayonunua Gharama za usafiri zinawacost sana
Tatizo mko mbali sana wanetu wa Shinyanga mfuko wa cement hapa DAR ni 15,000 hadi 16,000 ikitegemea aina ya cement unayonunua Gharama za usafiri zinawacost sana
imhotep JF-Expert Member Joined Oct 13, 2012 Posts 55,997 Reaction score 88,219 Sep 19, 2022 #3 Ngoja atoke mazishini.
DungaMawe JF-Expert Member Joined Jul 31, 2022 Posts 1,522 Reaction score 4,630 Sep 19, 2022 #4 JAMANI SI TULIKUBALIANA MAMA ANAUPIGA MWINGI AU TATIZO NI KUMWAGIKA
adriz JF-Expert Member Joined Sep 2, 2017 Posts 12,207 Reaction score 26,521 Sep 19, 2022 #5 Nalo litatazamwa .