Kila unalotakiwa kujua kuhusu IPTV (kuangalia TV kwa kutumia internet)

Kila unalotakiwa kujua kuhusu IPTV (kuangalia TV kwa kutumia internet)

Site gani kwa sasa yenye access ya streaming links za michezo yote live? Lakin kwa 720p au 1080p? [ kwa kodi vp kuna updates gan kwa odin na plugin?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hadi sasa tv za kibongo naona kama strreaming links zimeyeyuka
 
Acestream ni $ ngapi kwa mweiz/mwaka mimi natumia mygatortv nalipa $25.99 kwa mwaka
 
Acestream ni $ ngapi kwa mweiz/mwaka mimi natumia mygatortv nalipa $25.99 kwa mwaka
Ni bure mkuu, internet yako ni unlimited na bandwidth kubwa?

Mi natumia neoiptv bei haitofautiani na hiyo yako.
 
Back
Top Bottom