Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
- Thread starter
- #2,041
acestream haina sign in. seems kuna mahala umekosea au inaleta uhuni fulani wa kukudirect kwenye matangazo. itoe hio ulioeka.Nimedownload hii app lakini nikaambiwa sign nikaendelea kusign Maneno yanayojitokeza ni haya free pia upgrade then sign out hatua inayofuata haioneshi.Pia nime paste hiyo link kwenye vcl inaleta ujumbe can't play this link
install hii app kwenye hii thread
Muongozo wa kuangalia tv online kupitia torrent (android na windows)
hio app automatic itaeka acestream. utaweza eka links zako mwenyewe ama kuplay links zao. jamaa wana chanell nyingi ila za mpira chache.