Kila unalotakiwa kujua kuhusu IPTV (kuangalia TV kwa kutumia internet)

Kila unalotakiwa kujua kuhusu IPTV (kuangalia TV kwa kutumia internet)

Nimedownload hii app lakini nikaambiwa sign nikaendelea kusign Maneno yanayojitokeza ni haya free pia upgrade then sign out hatua inayofuata haioneshi.Pia nime paste hiyo link kwenye vcl inaleta ujumbe can't play this link
acestream haina sign in. seems kuna mahala umekosea au inaleta uhuni fulani wa kukudirect kwenye matangazo. itoe hio ulioeka.

install hii app kwenye hii thread

Muongozo wa kuangalia tv online kupitia torrent (android na windows)

hio app automatic itaeka acestream. utaweza eka links zako mwenyewe ama kuplay links zao. jamaa wana chanell nyingi ila za mpira chache.
 
Hey wakuu nimeweka add on hii supermix nikifungua channels za sport inanipa mrejesho huu Loading local proxy sasa nakosea wapi naomba muongozo
 
Exodus can be the best addon for you if you love to watch Movies, TV Shows, Sports and other stuff.
Covenant is one of the best Kodi addons available on the Kodi.
 
Nimejaribu kufuata kila hatua ya maelekezo yaliwekwa humu na yaliyowekwa youtube kufanya installation kwenye PC yenye Win 64bit hakuna "addon" iliyokubali kuplay.

Kama kuna siri naomba ushauri.

Ikiwa inafanya installation ya addons kuna baadhi ya installion packages zinareport error. Lakini hata zisizoreport error wakati wa installation zinareport error wakati wa kuplay.

I thought may be ziko blocked na network za China lakini nimewasha VPN tatizo likabaki palepale.
 
Jaribu neptune rising ama placenta

TOP BEST WORKING KODI Addons List August 2018 | WirelesSHack
 
Mambo ya Kodi with Sport Devil add on

1537016277469.png
 
Ni site gani nzuri ya kuangalia soka nzuri direct kama ilivyokuwa www.goatdee.net? Kwa sasa hii site ipo blocked
Tumia reddit.

Search neno reddit soccer stream google

Ingia hio site ya reddit wakati wa mpira utaona kila mechi ina thread yake,

Ingia mechi husika utapata links kibao kwa quality tofauti wewe tu na budle yako.
 
Asante nitacheki mchana huu mkuu

Back
Top Bottom