Kila unalotakiwa kujua kuhusu IPTV (kuangalia TV kwa kutumia internet)

Nina Android tv Box

Nina Android TV, nilijaribu kuiweka lakini inagoma kufanya navigations, inakuwa haiwezekani ku-scroll up and down...

Hivyo huwa naitumia kwenye simu nikiwa mbali na TV...
 
Nina Android TV, nilijaribu kuiweka lakini inagoma kufanya navigations, inakuwa haiwezekani ku-scroll up and down...

Hivyo huwa naitumia kwenye simu nikiwa mbali na TV...
nikiwa karibu na TV Box yangu jioni tuta-share jinsi ya kufanya. Mimi imenikatalia kwenye Windows PC
 
Kodi ni hadithi nyingine, kama una mtandao wa uhakika na unajua ku-install Add-ons, you will enjoy a lot
 
Your pc has chrome as a browser and you need to play a video, you are asked to have a flash player. now this flash player is an example of addons
 
Kodi ni hadithi nyingine, kama una mtandao wa uhakika na unajua ku-install Add-ons, you will enjoy a lot

Naam, mimi ni mdau wa Kodi tokea ikiitwa XBMC...

Unaweza ukaweka video addons, IPTV, ukaifanya iwe media player kama una local au remote media server na mambo kibao...
 
Reactions: Lax
wakuu kwa wenye Smart Tv inawezekana kustream ? Maana naonaga kuna apps zimeandikwa IPTV kuzitumia ndio sifahamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…