Kila unalotakiwa kujua kuhusu IPTV (kuangalia TV kwa kutumia internet)

Kila unalotakiwa kujua kuhusu IPTV (kuangalia TV kwa kutumia internet)

Nina Android tv Box

Nina Android TV, nilijaribu kuiweka lakini inagoma kufanya navigations, inakuwa haiwezekani ku-scroll up and down...

Hivyo huwa naitumia kwenye simu nikiwa mbali na TV...
 
Nina Android TV, nilijaribu kuiweka lakini inagoma kufanya navigations, inakuwa haiwezekani ku-scroll up and down...

Hivyo huwa naitumia kwenye simu nikiwa mbali na TV...
nikiwa karibu na TV Box yangu jioni tuta-share jinsi ya kufanya. Mimi imenikatalia kwenye Windows PC
 
Mkuu hizi apps za kustream mpira au vitu vingine, ukiamua kuzitumia inabidi usiwe na mawazo ya MB...

Kwenye hii app kuna links za SD na HD, kama unataka kupunguza matumizi ya MB basi chagua links za SD...

Kwa uzoefu ukiwa na 500MB, unatazama mechi moja ya football...
Kodi ni hadithi nyingine, kama una mtandao wa uhakika na unajua ku-install Add-ons, you will enjoy a lot
 
Your pc has chrome as a browser and you need to play a video, you are asked to have a flash player. now this flash player is an example of addons
 
Kodi ni hadithi nyingine, kama una mtandao wa uhakika na unajua ku-install Add-ons, you will enjoy a lot

Naam, mimi ni mdau wa Kodi tokea ikiitwa XBMC...

Unaweza ukaweka video addons, IPTV, ukaifanya iwe media player kama una local au remote media server na mambo kibao...
 
  • Thanks
Reactions: Lax
Kodi Addons

Check hizi The Loop, Sport HD, Centry Sports

Picha ya chini ni links za leo EPL toka The Loop addon...

View attachment 2198495
Screenshot_20220426-220416.png

ndugu shukrani nakula maisha apa
 
wakuu kwa wenye Smart Tv inawezekana kustream ? Maana naonaga kuna apps zimeandikwa IPTV kuzitumia ndio sifahamu
 
Back
Top Bottom