dkashombo2013
JF-Expert Member
- Aug 10, 2013
- 539
- 119
Yaah niligugo nikaipata ya phoenix....ya superRepo ndo sijaipata mkuu..na naihitaji kwaajili ya channels za dstv....au kama kuna plugin nyingine yenye hizi channels waweza nipatia...
Pia hapa Nina zip file ya azam TV na star TV aliyoweka Watu8 ila nimesahau jinsi ya kuiweka ili nizipate hizi channels.
Mkuu sorry kwa kuchelewa kujibu naona Chief Mkwawa kajitahidi kukuelekeza hapo juu...
Binafsi nina kitu hiki nataka nikufafanulie...
Katika KODI huwa kuna repository na addon, repository ni maktaba ambayo hubeba addons nyingi ndani yake. Ni kama vile ilivyo kwa atlas ni kitabu chenye taarifa za ramani za nchi nyingi.
Sasa kuna repositories nyingi tu watu wamekuwa wakizitengeneza mfano lambda, metakettle n.k.
Superrepo nayo ni mojawapo ya repositoy maarufu tu na ni developer wa mwanzo kabisa.(sikumbuki vizuri ndani ya superrepo kama kuna phoenix addon)
Phoenix ni addon kama ilivyo Vdubt25, Sportsdevel n.k
Sasa unapotaka kuinstall addon yoyote kuna njia mbili za kufanya hivyo.
1. Unanstall kwanza repository kwa kuadd source ya repository, kwa kawaida huwa ni url link.
Ukisha-add repository kutokea ndani yake ndio utaendelea kuinstall addon.
2. Njia ya pili ni kudownload moja kwa moja addon file ambalo ni zip, then kutokea katika local storage unainstall hiyo addon kwa KODI.
Hili nilishaeleza huko nyuma post #176
Kwa kuwa wewe umeshapakua lile file nililoweka basi anza kufuatilia maelekezo hatua ya pili...
Asante mkuu
Niliuninstall kodi sasa kila nikijaribu kuinstall upya napewa ujumbe huuu
Nashindwa nifanyeje na hata version ya kwanza nayo inagoma😕😕😕
Cheki na app manager kama kodi imetoka yote
Bado tu mkuu inakuja error no 24 nimejaribu hata ile njia ya kurwfreash palystore kwa kuforce stop-uninstall updates then clear data bado tu
Seems nipo sawa hio error inatokana na un install isiokamilika. Kodi haijatoka yote.
Hope umeroot simu tumia file manager yoyote yenye root acess halafu nenda root folder then nenda data halafu tena data utaona data za apps zote itafute kodi halafu uidelete

Yeah nshaisoma fresh Mm nilichofanya ni kama inavyooonekana kwenye hii picha
Hapa ntatengeneza custom List ya channel nazopenda tu, achana na zile m3u unapakua unakuta channel 200 unashindwa uangalie ipi uache ipi na mpaka upate channel unayotaka nayo ni shida pia
Kuna Kipindi nilisha load mpaka channel zikawa book ikawa ni tabu kutafuta channel yako nzuri ipo namba ngapi
Results zangu kutumia PVR IPTV Simple client hizi hapa chini
Mkuu sorry kwa kuchelewa kujibu naona Chief Mkwawa kajitahidi kukuelekeza hapo juu...
Binafsi nina kitu hiki nataka nikufafanulie...
Katika KODI huwa kuna repository na addon, repository ni maktaba ambayo hubeba addons nyingi ndani yake. Ni kama vile ilivyo kwa atlas ni kitabu chenye taarifa za ramani za nchi nyingi.
Sasa kuna repositories nyingi tu watu wamekuwa wakizitengeneza mfano lambda, metakettle n.k.
Superrepo nayo ni mojawapo ya repositoy maarufu tu na ni developer wa mwanzo kabisa.(sikumbuki vizuri ndani ya superrepo kama kuna phoenix addon)
Phoenix ni addon kama ilivyo Vdubt25, Sportsdevel n.k
Sasa unapotaka kuinstall addon yoyote kuna njia mbili za kufanya hivyo.
1. Unanstall kwanza repository kwa kuadd source ya repository, kwa kawaida huwa ni url link.
Ukisha-add repository kutokea ndani yake ndio utaendelea kuinstall addon.
2. Njia ya pili ni kudownload moja kwa moja addon file ambalo ni zip, then kutokea katika local storage unainstall hiyo addon kwa KODI.
Hili nilishaeleza huko nyuma post #176
Kwa kuwa wewe umeshapakua lile file nililoweka basi anza kufuatilia maelekezo hatua ya pili...
kama kuna mtu anajua online
tv za bure zenye Chanel za Tanzania hasa itv
Asante mdau,
Je, Iptv receiver zinapatikana wapi dar?
mkuu Chief-Mkwawa huduma hii ni nzuri ila kwa bando zetu za mb8 na unlimited feki si bora tutafte kazi zingine za kufanya tu!
Dar kuna zantel, mikoani kuna smart wana vifurushi vizuri tu vya internet. Kwa shilingi 1000 unaweza angalia hadi mechi 3