Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
- Thread starter
-
- #621
Shukrani chief Mkwawa nimeipata na naweza kuziona kwa sasa japo ina sita sita ila naona. Naweza pata pluggin nzuri ata ya kununua ili niweze kuziona bila kugoma goma?
mkuu umekuwa msaada mkubwa sana kwenye haya mambo hadi mimi leo hii naweza kuona tv online, ila sijafanikiwa kupata hiyo addon ya kulipia yenye trial, hizi nyingi zina stack sana!Nenda page ya kwanza ya hii thread kuna add on ya kulipia iliwekwa na wana trial, icheki
mkuu umekuwa msaada mkubwa sana kwenye haya mambo hadi mimi leo hii naweza kuona tv online, ila sijafanikiwa kupata hiyo addon ya kulipia yenye trial, hizi nyingi zina stack sana!
Shukrani chief Mkwawa nimeipata na naweza kuziona kwa sasa japo ina sita sita ila naona. Naweza pata pluggin nzuri ata ya kununua ili niweze kuziona bila kugoma goma?
Chief mkwawa Imegoma print screen nimepiga picha
Jaribu pia SportDevil iko poa hii haigandigandi
Kwani Mobdro si ina addon ya Kodi...
Yaah naona ina Crash!Kuna developers fulani walijaribu kuclone 'mobdro' na wakatengeneza addon...
Mwanzoni ilipiga mzigo lakini baadaye watu wa mobdro wakaanza kuziua links zote ambazo hazitokei katika servers zao...
Sasa hivi hiyo addon haifanyi kazi...
Mkuu hii ipo ktk kodi au mpk ni idownload na kui nstall?
Hii inabidi kudownload mkuu ina beiN sport 1-12
Hii inabidi kudownload mkuu ina beiN sport 1-12
Nisaidie link yake kama unayo.
Bein sports kwenye sportsdevil iko sehemu gani😐😐maana natumia na sizioni mkuu.
Google tu utapata pia jinsi ya ku install
Click na mouse/enter hilo neno system
Dah sasa nitacheki game home tu. Nimeimaliza game ya sunderland na palace live bila ata kugoma. Shukrani sana kwako Chief na wote walotoa michango yao.
Anayejua add-on ya movies na series pls.
Kama unataka Enjoy hii game kwa sasa kuna Option hizi Mbili nimeona za ukweli
1.Install IPTV Stalker Clone kama CypherTV etc
IPTV stalker ni ya Kulipia hivo Link zake na channel zake ziko stable sana,kama speed yako ina peak kuanzia 1-4Mbps una uhakika wa kuangalia bila buffering na channel 24/7 links hazi drop!
Kuna watu wanasema Internet shida siku hizi kuna Halotel ata ndugu yangu alieko Tandaimba huko vijijini ana stream stalker kwa mtandao wa Halotel
Ili usilipie kuna developers wanailipia MAC adress kadhaa then wanatengeneza Clone addon afu wanatoa kwa watu watumie Bure!
Kwa sasa nimetumia Clone mbili za stalker na ziko fresh kabisa na channel Kibao kuanzia Music,Movies,Sports,Documentary,Entertainment na Adult Channels
Kama unavyoona hapa Chini nimeangalia zaidi ya 40+minutes nasijapata Buffer
2.Kuna addons nyingine za Kulipia kama NTV.MX kuna rafiki yangu alilipia aka share na mimi account package alolipia ni UK Premium.
kwenye tovuti yao wameweka Sample ya Channel ya NEWS mwaweza kui test na channel zote ziko vile zilizo kwenye quality ya SD
Hawa jamaa ni Balaa I see! Nafikiria Stalker Clone zikiacha kufanya kazi najilipua kwa hawa jamaa nimetumia zaidi ya week hii account yao ni Balaa!
Game zote za weekend hii nimezicheki Kupitia hawa jamaa 1hr+ (kwenye picha)nikiwa na wadau zangu home !
Kuna mtu kanitonya jinsi ya kuwa napata trial account zao za siku 5 kila unapoitaka