Kama unataka Enjoy hii game kwa sasa kuna Option hizi Mbili nimeona za ukweli
1.Install IPTV Stalker Clone kama CypherTV etc
IPTV stalker ni ya Kulipia hivo Link zake na channel zake ziko stable sana,kama speed yako ina peak kuanzia 1-4Mbps una uhakika wa kuangalia bila buffering na channel 24/7 links hazi drop!
Kuna watu wanasema Internet shida siku hizi kuna Halotel ata ndugu yangu alieko Tandaimba huko vijijini ana stream stalker kwa mtandao wa Halotel
Ili usilipie kuna developers wanailipia MAC adress kadhaa then wanatengeneza Clone addon afu wanatoa kwa watu watumie Bure!
Kwa sasa nimetumia Clone mbili za stalker na ziko fresh kabisa na channel Kibao kuanzia Music,Movies,Sports,Documentary,Entertainment na Adult Channels
Kama unavyoona hapa Chini nimeangalia zaidi ya 40+minutes nasijapata Buffer
2.Kuna addons nyingine za Kulipia kama
NTV.MX kuna rafiki yangu alilipia aka share na mimi account package alolipia ni UK Premium.
kwenye tovuti yao wameweka Sample ya Channel ya NEWS mwaweza kui test na channel zote ziko vile zilizo kwenye quality ya SD
Hawa jamaa ni Balaa I see! Nafikiria Stalker Clone zikiacha kufanya kazi najilipua kwa hawa jamaa nimetumia zaidi ya week hii account yao ni Balaa!
Game zote za weekend hii nimezicheki Kupitia hawa jamaa 1hr+ (kwenye picha)nikiwa na wadau zangu home !
Kuna mtu kanitonya jinsi ya kuwa napata trial account zao za siku 5 kila unapoitaka