Kila unalotakiwa kujua kuhusu IPTV (kuangalia TV kwa kutumia internet)

Hivi naweza kutumia hii simu kuangalia mpira kwenye tv yaan simu ikatumika kama receiver
 
Wadau ninaomba mtutupie addon za mpira ambazo ni free ukiacha sportsdevil
 
ipo inaitwa fusion nenda jukwaa la wakubwa utakuta kuna thread imeandikwa IPTV channel za wakubwa
Mbona hilo jukwaa la wakubwa sijaliona mkuu?? Na hiyo fusion nayo pia sijaiona msaada mkuu wa link
 
Mbona hilo jukwaa la wakubwa sijaliona mkuu?? Na hiyo fusion nayo pia sijaiona msaada mkuu wa link

kupata access ya huko mpaka uwe umeruhusiwa na admni oky fanya hivi ingia Google au youtube then search how to install Fusion add on in kodi then utapata full direction
 
Tafuta Lubetube(Adult) afu ulete mrejesho humu
Mkuu ni shida tisha ile mbaya.ubarikiwe na mungu.na je ya ngumi naweza pata?? Ziwe za kivita,action,kung fu nk. Naomba msaada wko na wengine humu
 
Mkuu ni shida tisha ile mbaya.ubarikiwe na mungu.na je ya ngumi naweza pata?? Ziwe za kivita,action,kung fu nk. Naomba msaada wko na wengine humu

Chukua 4U movies, HD movies pia phoneix ni nzur pande hzo
 
Sportsdevil, UK Turks, Phoenix, Vdubt25 ZemTV, NJM Soccer, Pears, MoneySports na nyingine nyingi unapata links za michezo...

Nimefanikiwa....Asante sana...nimenunua 5 GB za smile(4G) zinaweza chukua mda gani kama ntakua nacheki mpira tu? nataka niwe na Bajeti kabisa... Chief-Mkwawa
 
Last edited by a moderator:
Nimefanikiwa....Asante sana...nimenunua 5 GB za smile(4G) zinaweza chukua mda gani kama ntakua nacheki mpira tu? nataka niwe na Bajeti kabisa... Chief-Mkwawa

Inategemea na resolution utakayoangalizia, jinsi quality inabyokuwa kubwa na mb ndio zinavyoenda nyingi
 
Last edited by a moderator:
habari wanajf,samahani naomba mnisaidie free software ya kuangalia TV online mfano AZAM,TBC,STARTV,CLOUDS etc kwa kutumia PC(LAPTOP) bila kulipia,ahsanteni sana,MUNGU AWABARIKI.
 
Inategemea na resolution utakayoangalizia, jinsi quality inabyokuwa kubwa na mb ndio zinavyoenda nyingi

Chief-Mkwawa nimedownload KODI kwenye PC nika-install ikaingia...tatizo kila nikijaribu kuifungua iyo KODI inaandika hivi "ERROR: Unable to create GUI. Exiting" je tatizo ni nini apo...naomba msaada wako tafadhali.
 
Mkuu kwangu hiyo azamu inagoma kuonesha kabisa sijui tatizo nini?? Msaada hapo
 
Mkuu kwangu hiyo azamu inagoma kuonesha kabisa sijui tatizo nini?? Msaada hapo

1. Umefuatilia maelekezo yote na kuyafuata bila kukosea?

2. Unaweza kufungua vitu vingine na ukifungua Azam kinaonekana kitu gani?

3. Kama umefanya kama nilivyoelekeza na unaweza kufungua vitu vingine basi jaribu kuifungua Azam mara nyingi itafunguka.

4. Zaidi jaribu kufuatilia kama kuna mahali umekosea.
 
Mkuu inaniandikia hivi nikiifungua hiyo chanel
ONE OR MORE ITEMS FAILED TO PLAY.CHECK THE LOG FOR MORE INFORMATION ABOUT THIS MESSAGE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…