mbeyaboyfrancy
JF-Expert Member
- Mar 12, 2015
- 248
- 91
Hivi naweza kutumia hii simu kuangalia mpira kwenye tv yaan simu ikatumika kama receiver
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona hilo jukwaa la wakubwa sijaliona mkuu?? Na hiyo fusion nayo pia sijaiona msaada mkuu wa linkipo inaitwa fusion nenda jukwaa la wakubwa utakuta kuna thread imeandikwa IPTV channel za wakubwa
Mbona hilo jukwaa la wakubwa sijaliona mkuu?? Na hiyo fusion nayo pia sijaiona msaada mkuu wa link
Mbona hilo jukwaa la wakubwa sijaliona mkuu?? Na hiyo fusion nayo pia sijaiona msaada mkuu wa link
Lubetube ni nini?
Add-ons au jukwaa? 4G LTE
Mkuu ni shida tisha ile mbaya.ubarikiwe na mungu.na je ya ngumi naweza pata?? Ziwe za kivita,action,kung fu nk. Naomba msaada wko na wengine humuTafuta Lubetube(Adult) afu ulete mrejesho humu
Mkuu ni shida tisha ile mbaya.ubarikiwe na mungu.na je ya ngumi naweza pata?? Ziwe za kivita,action,kung fu nk. Naomba msaada wko na wengine humu
Mkuu nimechemka kuzipata hizo adion.Chukua 4U movies, HD movies pia phoneix ni nzur pande hzo
Sportsdevil, UK Turks, Phoenix, Vdubt25 ZemTV, NJM Soccer, Pears, MoneySports na nyingine nyingi unapata links za michezo...
Nimefanikiwa....Asante sana...nimenunua 5 GB za smile(4G) zinaweza chukua mda gani kama ntakua nacheki mpira tu? nataka niwe na Bajeti kabisa... Chief-Mkwawa
Inategemea na resolution utakayoangalizia, jinsi quality inabyokuwa kubwa na mb ndio zinavyoenda nyingi
Naona watu wengi wanapata shida kwa ile njia ya mwanzo ambayo nilipata kuelekeza hapo awali:
Sasa ngoja nielekeze njia mpya ambayo ni mbadala ambayo bila shaka itakuwa rahisi kwa kila mmoja:
1. Download addon inayoitwa "Playlist Loader" na kisha install katika KODI...(Bila shaka kila mtu anajua namna ya kuistall addon)
2. Baada ya kuinstall, fungua notepad au notepad++ au text editor yoyote katika ndani yake weka kitu hiki:
#EXTINF:0 ,Azam 2
http://196.41.40.253:1935/live/myStream/playlist.m3u8
3. Save hilo file kwa kulipatia jina lolote mfano Azam2 na hakikisha liwe na extension ya dot mu3 (.mu3) badala ya dot txt (.txt), kama unatumia simu basi lihamishie kwa simu file hilo.
4. Kama ukishindwa kutengeneza hilo file basi tembelea link hii hapa chini nimetengeneza hilo file kwa faida ya wote.
https://drive.google.com/file/d/0B16EjXCF75lRbVVraDU3MzZYQVU/view?usp=sharing
5. Fungua Playlist Loader na fuatisha maelekezo haya. Add a new list
![]()
6. Andika jina lolote ila napendekeza uandike Azam 2 ili iwe rahisi kukumbuka baadaye
![]()
7. Baada ya hapo chagua New local list na uweke sasa ile pathname ya lile file ulilopakua toka kwangu hapo juu nambari 4.
![]()
8. Baada ya hapo Azam 2 itakuwa added, unaweza ifungua kuitazama.
Mkuu kwangu hiyo azamu inagoma kuonesha kabisa sijui tatizo nini?? Msaada hapo
Mkuu inaniandikia hivi nikiifungua hiyo chanel1. Umefuatilia maelekezo yote na kuyafuata bila kukosea?
2. Unaweza kufungua vitu vingine na ukifungua Azam kinaonekana kitu gani?
3. Kama umefanya kama nilivyoelekeza na unaweza kufungua vitu vingine basi jaribu kuifungua Azam mara nyingi itafunguka.
4. Zaidi jaribu kufuatilia kama kuna mahali umekosea.