Kila unalotakiwa kujua kuhusu IPTV (kuangalia TV kwa kutumia internet)

Sasa Mkwawa msaada kidogo baada ya kudownload na kuinstall wakat wa kuopen napata error kuwa kod haiko compatibo na ARM vs X86 msaada hapo natumia nokia xl
 
Sasa Mkwawa msaada kidogo baada ya kudownload na kuinstall wakat wa kuopen napata error kuwa kod haiko compatibo na ARM vs X86 msaada hapo natumia nokia xl
Maelezo hapo juu ni kwa windows pc na sio kwa simu
 
sijajua tatizo nini Chief-mkwawa na njuwa wa mavoko naomba msaada tafadhali.....mi nimedownload kodi-helix 14.2 nikafuata toturial ya vdubt25 toturial ku install add on . lakini inanipa msg hiyo
 
Kuna muda nikifungua inaonyesha hivi...,tatizo nini?
Inaweza kuwa Your connection is poor au channel unayotumia Link yake ipo outdated.
Not all channels will work....
Hivo ni vema kuwa na addon zaidi ya moja japo add-ons nyingi zina share channels lkn ni vema zaidi ukiwa na alternative
Ikigoma vdtub25 unaenda Paki India Live au unaenda Phoenix TV
 

Mkuu hiyo Phoenix tv unaipataje
 

Samahani kuna tatizo nahisi ndio chanzo cha kuja kusumbua mbele wakati naweka plugin, nikifika kule kwenye plugn nikitaka kufungua lile file la xunity halifunguki
 

Attachments

  • 1437388141536.jpg
    36.9 KB · Views: 637
asee ilo ni bonge la darasa/ elimu funguo yako ni ya bonge la kitasa/
 
Sawa but naona pia kama kuna kod apk pia kwa ajili android phone

kaka hii kodi ni multiplatform inatakiwa hadi android ikubali japo tutorial nimeiandika kwa kutumia pc. pia haitumii api za google hivyo ilitakiwa kurun kwenye simu yako japo haina playstore. una uhakika umedownload version sahihi ya simu yako?
 
Kwenye iDevice haifanyi kazi mpaka uwe ume-Jailbreak?

yap simple google search imenionesha hivyo. sijui tatizo ni nini maana haionekani kuwa na feature ya lazima ambayo inahitaji system files
 

nikisema asante haitoshi,kwangu mimi hili ni darasa tosha mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…