Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu hapo kwenye ulaji wa bundle si inakua ni balaa sana au?Tunaomba experience yako CHIEF
Chief-Mkwawa nilitaka kufungua uzi huu kitambo lakini wasiwasi wangu ulikuwa ni uhakika ya internet kwa Wabongo...
Nimeanza kutumia XBMC (Kodi) tangu enzi za version ya Frodo baadaye Gotham na sasa Helix...
Kwa kuongezea tu kwa watumiaji wa simu pia wanaweza kujaribu LazyIPTV au IPTV app, zipo vizuri nazo.
Kitu cha muhimu ni kututa tu links nzuri za m3u na kuziweka huko...
La unaweza ukaziinstall pia kwa kompyuta kupitia bluestack...
sijajua tatizo nini Chief-mkwawa naView attachment 269622View attachment 269622 njuwa wa mavoko naomba msaada tafadhali.....mi nimedownload kodi-helix 14.2 nikafuata toturial ya vdubt25 toturial ku install add on . lakini inanipa msg hiyo
hata vlc inaplay m3u ila kuzipata link ambazo zinafanya kazi ndio issue, kama una reliable source ya kupata hizo links ina maana watu hawatapata shida hio hapo juu wataangalia tu mpira kwa vlc.
Malipo ni bure lakini kwa upande wa Internet provider kama tigo,voda na Airtel Kampuni wanaunafuu? na ipi njia bora kupunguza hizo Mb zinazokwenda kwa kasi?
Malipo ni bure lakini kwa upande wa Internet provider kama tigo,voda na Airtel Kampuni wanaunafuu? na ipi njia bora kupunguza hizo Mb zinazokwenda kwa kasi?
Hii kitu iko poa sana
Zaidi napendelea Kuichomeka Laptop yangu kwa HDMI kwenye TV then nakula vitu
kODI ina majina Mengine kama XBMC na kuna latest Build inaitwa TVMC hii imekuja pre configured kila kitu wewe ni kuinstalll then next next done
Kama upo serious sana "Kodi" inapatikana katika Devices ambazo zimekua designed na kutumika na TV kama :-
1)Raspberry Pi
2)Android TV boxes
3)Amazon firesticks
4)Enigma II receivers
5)E.T.C
Hivo kama hautaki kutumia Laptop au Desktop yako au hautaki kutumia Simu au Tablet waweza consider hizo first 3 devices ni around 40$ kupanda juu lakini zinatumia WiFi so itabidi uwe na Router pia au simu ambayo utai sacrififce kurusha WiFi
Personally,Hii kitu na enjoy sana and my best addons ni
1)Paki Indi TV
2)Phoenix TV
3)Offsidestreams
Thanks to mleta mada sikujua kama huyu jamaa vdtube25 nae anayo addon yenye premium contents nzuri
Kuhusu swala la Internet ni challenge sana lakini mm nilichogundua ni kwamba kama unajua Internet yako ina Ping Speed ndogo fulani walau hakikisha basi inaweza ku peak mpaka 4Mbps bila wasi wasi
Mm natumia hii kitu na Tigo Ping speed yangu sio nzuri kivile ila walau my maximum Ping speed kwa speedtest.net napata average 170ms ila zile Download speeds zinapanda mpaka Downlink 7Mbps kwa 2Mbps Uplink.
Naweza angalia Channel kwa almost 1hr with simply initial buffers na baada ya hapo mambo yanakaa smooth
Najua hii part wabongo wengi bado maana kuna watu walikaririshwa eti TZ mitandao yake fake wakati kuna mitandao una stream 1080p video mwanzo mwisho bila buffer na ni 3G na kwa Live event
![]()
Kama pia Upo serious unataka kushusha madishi yote juu ya paa la nyumba yako kama mm :teeth:
Waweza consider kutumia jamaa wanaitwa offsidestreams.com jamaa hata uwe na Ping 200ms na Dwnlink internet ya 1Mbps waweza angalia mpaka beinsports HD Bila shida yoyote....
Tatizo wana charge pesa ila kama nilivosema kama upo serious sana na hii kitu waweza kuwajaribu
N:B: Hawa jamaa ukitumia Fake credit Card unapata free access ya 3-4days,Credit cards fake ziko Online nyingi waweza google Fake VBV/Credit cards
Mm hii huwa naipendelea kukiwa na match kali sana afu internet yangu magumashi
waweza angalia Video yangu moja youtube ya 8minutes kuanzia dakika ya 2 nilikua na stream at less than <1Mbps bila shida na ping yake sio kivile https://www.youtube.com/watch?v=eFwraw8JYho
Ukiitazama katika Thumbnails form kitu inavutia kweli mm nshasahau sana kuangalia TV kwa dishi antenna
![]()
Mkuu, nilitaka kuagiza Amazon firestick but nilposoma na kuelewa utendaji wake wa kazi nikakata tamaa kutokana na matatizo ya Internet speed kwa hapa bongo.
Naomba uzoefu wako kama unatumia au ushawahi kutumia amazon firestick.
Niko very interested na hii kitu.
Asante!!
Kwa muono wangu mimi nunua android box kama budget Ni ndogo ila kama unaweza panda kidogo full PC Ni bora zaidi kwenye range around $150 unazipata.
Pia firetv (firestick) inaruhusu ku sideload apps za android hivyo inakuwa si kama chromecast unaweza itumia hata internet ikiwa ya magumashi
Kiuhakika zaidi kama unataka kuangalia 24hrs itakubidi uwe na internet unlimited.
Ila kama unaangalia pale unapohitaji kama vile mpira basi Kifurushi cha siku kinatosha cha 1000
Na operator wote naona karibia Ni sawa