Kila unalotakiwa kujua kuhusu IPTV (kuangalia TV kwa kutumia internet)

Kila unalotakiwa kujua kuhusu IPTV (kuangalia TV kwa kutumia internet)

Hiyo acc. ni shilingi ngapi. inapatikanaje? Je, inaonesha live? Muhimu: TV yangu haina port ya HD In.
Kwa nn isioneshe Live labda?
Maana unakua una stream real channel
Bei zake ziko chini ya 50,000/= kwa mwaka tembelea JF Matangazo kuna wauzaji huko wa Qsat wanauza pia hizo account
 
Bila shaka wewe umedownload remote app za kodi/xbmc ndio maana umeandika haya...

Kama sijakosea Google playstore hawana app ya kodi so far, ukitaka kudownload app yao inakupasa uende mtandao wa kodi, Chief-Mkwawa kauweka pale juu

Mkuu app ya kodi ipo playstore nilidownload
 
Last edited by a moderator:
Yes mkuu niko sure coz niliinstall kwangu

Mkuu naungana na Watu8 utakuwa umedownload remote app ya Kodi..kama bado inakusumbua iondoe Kisha fuata link iliyowekwa na Chifu...
Mimi nimejaribu ni rahisi sana..now naangalia mechi ya Arsenal na Liverpool BeinSport1.
 
Last edited by a moderator:

Attachments

  • 1437647794108.jpg
    1437647794108.jpg
    30.1 KB · Views: 357
Sawa mkuu

Zinafanya kazi

Fanya Uninstall uinstall upya labda

Tatizo la Bein sports karibia zote ni HD so jipange kidogo

wakati Sky sports karibu zote ni SD 480p una uhakika wa kucheki match nzima bila tatizo la maana

vHqgMe.png

zNX9Tj.png
 
Asante mkuu nimefanya hivyo iko okay now... Bein sports ziko vizuri ila naona tigo mizinguo ina buffer aisee ukipata net nzuri unafaidi sana
 
Zinafanya kazi

Fanya Uninstall uinstall upya labda

Tatizo la Bein sports karibia zote ni HD so jipange kidogo

wakati Sky sports karibu zote ni SD 480p una uhakika wa kucheki match nzima bila tatizo la maana

vHqgMe.png

zNX9Tj.png

jana nimeinstall phoinex nikazipata hizo bein sport lakini tatizo ninalokumbana nalo nikilunch bein sport moja wapo ili niangalie inaload tuuuu bila kuonesha chochote na kutoa ujumbe najiuliza tatizo litakua nini?
 
Tumia pak india mkuu utapata bein bila chenga
 
Mkuu naomba unitajie addon yenye bein sports niitafute

NJM Soccer
Shahid Arabic
Phoenix

Hata hivyo kuna baadhi ya addons zinategemea upo sehemu/nchi gani ili zifanye kazi...(IP dependant)

Ila mkuu kuna ujanja mwingi wa kutazama live tv kwa Kodi si lazima addon tu...

Pia nimeweka IPTV m3u link kwa kutumia simple pvr hivyo si wakati wote natumia addons...

Mkuu app ya kodi ipo playstore nilidownload

Basi siku nyingi sikuwa nineifuatilia maana kitambo wakati wa frodo au gotham (matoleo nyuma ya helix), apk zake ilikuwa unazipata moja kwa moja mtandao wa xbmc(kodi)...
 
Back
Top Bottom