Kila unalotakiwa kujua kuhusu IPTV (kuangalia TV kwa kutumia internet)

Chief jamaa umemwambia speed nzur na anatumia halotel kama mimi inakuwaje hapo?
ya kwako ni 0.24mbps na ya kwake ni 3.03mbps kuna utofauti mkubwa sana, speed yake ni mara 13 zaidi ya yakwako. pia ping yake ni 47 wakati yako ni 394 jinsi ping inavyokuwa ndogo ndio inavyokuwa nzuri hapo pia kakupita

mitandao ya simu ya Tanzania haiaminiki speed unapata kutokana na eneo ulipo angalia pia na kifurushi maybe wanalimit speed kwa hicho kifurushi
 
Mkuu nisaidie jinsi ya chaneli kuziweka kwenye mfumo wa thumbnail maana nijitahidi nimeshindwa
 
Chief mkwawa naomba nisaidie jinsi ya kuziweka chaneli kwenye mfumo wa thumbnail
 
 
Chief-Mkwawa ndugu yangu chifu embu nipe mwangaza kidogo nianzeje kutumia hii Kodi kwenye kaIphone kangu nimeiweka jana toka Cydia ila nimeishia hapa tu sijui niendeleeje ili na mimi iwe kwenye ulimwengu huu!!? Nitafurahi sana nikipata msaada. ahsante
 


mkuu nafkiri kodi ni hio hio tutorial za huko juu unaweza tumia pia kwako.

tatizo ni hiyo skin yako hivyo vitu huwenda vikawa na procedure tofauti.

kwa kuanza anza na kueka add ons zilizo store ili utest halafu ndio ufanye mpango wa addons nyengine kama za movie na mpira.

click hapo video halafu nenda add addons halafu chagua addons yoyote utakayoipenda kama watchmojo hivi then install halafu ifungue uone kama itaonyesha.
 
Asante mkuu ngoja nijaribu pakiwa na tatizo tena nitakuhitaji kwa msaada zaidi Usituchoke wadau.
 
Chief, hivi kuna link yeyote ambayo naweza chek azam TV online streaming au kupitia addon kwa kodi?
Nijuze please.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…