Kila unalotakiwa kujua kuhusu IPTV (kuangalia TV kwa kutumia internet)


HIYO IMEKUJA BAAADA YA KU INSTALL KODE KUIFUNGUA NDIO YALETA IYO KITU
 
Hatimaye nimesoma maelezo haya na kufanikiwa ku install Phoenix na sasa naona tv. Tatizo Tv za Bongo bado kidogo ngoja nikomae nione. Aksanteni CHIEF MKWAWA Njunwa wa Mavoko @Mwl.RTC na wengineo.
 
ipo ndio sema si muda wote inaonesha search hii thread utaipata.
Mkuu link nimeiona na nime i download tatizo linakuja kwenye device yangu sijui ndio ushamba nikifika hadi kwenye ku browser file pale naenda sehemu ambapo file lipo lakini linakua kama ni empty halina kitu. Nimejaribu ku download es file explorer naona yale yale inafikia hapa mkuu. Msaada
 
Jamani, bado ninashida ya kuipata AZAM TWO kwa kutumia simu yenye Android OS.
Labda kama kuna namna nyingine yoyote ya kunisaidia.
 
Chief mkwawa Msaada wako...natumia box la 4K android...kodi ipi ntatumia au kudowload nizipate TV za nyumbani Tanzania.?
kodi ni hio hio kaka, download tu tokea link ya juu kwenye thread version ya android halafu tumia file la .strm lililoekwa humu
 
Bonyeza ok hapo the rudi tena nyuma kweny videos file utakuta hilo folder lenye hzo tv limekua added kisha lifungue kisha fungua hyo tv.strm utakuta tv zote hapo
Sawa mkuu nashukuru wacha nifanye hivyo nione. Nitaleta mrejesho
 
Bonyeza ok hapo the rudi tena nyuma kweny videos file utakuta hilo folder lenye hzo tv limekua added kisha lifungue kisha fungua hyo tv.strm utakuta tv zote hapo
Ningekua mlevi ningesema nililewa kumbe nilikua nimemaliza kila kitu. Aksante mkuu. Zipo Itv...Eatv...chanel ten.... tbc... citizen na nyingine nyingi za afrika. Clouds vipi yenyewe??
 
ukiona kote haiplay ujue wapo offline. streaming za bongo ndio zilivyo ngoja wengine waje kutuhakikishia
Ahsante sana CHIEF MKWAWA.
Na kuhusu ile issue yangu ya awali ya kupata sauti tu bila picture kwa channels za Bongo nafikiri ni SIMU YANGU ndo ina shida lkn nimejaribu kwa simu ya wife naona inapiga kazi vzr.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…