Kila unalotakiwa kujua kuhusu IPTV (kuangalia TV kwa kutumia internet)

Kila unalotakiwa kujua kuhusu IPTV (kuangalia TV kwa kutumia internet)

Capture.JPG

HIYO IMEKUJA BAAADA YA KU INSTALL KODE KUIFUNGUA NDIO YALETA IYO KITU
 
Hatimaye nimesoma maelezo haya na kufanikiwa ku install Phoenix na sasa naona tv. Tatizo Tv za Bongo bado kidogo ngoja nikomae nione. Aksanteni CHIEF MKWAWA Njunwa wa Mavoko @Mwl.RTC na wengineo.
 
ipo ndio sema si muda wote inaonesha search hii thread utaipata.
Mkuu link nimeiona na nime i download tatizo linakuja kwenye device yangu sijui ndio ushamba nikifika hadi kwenye ku browser file pale naenda sehemu ambapo file lipo lakini linakua kama ni empty halina kitu. Nimejaribu ku download es file explorer naona yale yale inafikia hapa mkuu. Msaada
 
Yeah nshaisoma fresh Mm nilichofanya ni kama inavyooonekana kwenye hii picha

FN4x4F.png


Hapa ntatengeneza custom List ya channel nazopenda tu, achana na zile m3u unapakua unakuta channel 200 unashindwa uangalie ipi uache ipi na mpaka upate channel unayotaka nayo ni shida pia
Kuna Kipindi nilisha load mpaka channel zikawa book ikawa ni tabu kutafuta channel yako nzuri ipo namba ngapi

Results zangu kutumia PVR IPTV Simple client hizi hapa chini

cMURUM.png
Jamani, bado ninashida ya kuipata AZAM TWO kwa kutumia simu yenye Android OS.
Labda kama kuna namna nyingine yoyote ya kunisaidia.
 
Chief mkwawa Msaada wako...natumia box la 4K android...kodi ipi ntatumia au kudowload nizipate TV za nyumbani Tanzania.?
kodi ni hio hio kaka, download tu tokea link ya juu kwenye thread version ya android halafu tumia file la .strm lililoekwa humu
 
Bonyeza ok hapo the rudi tena nyuma kweny videos file utakuta hilo folder lenye hzo tv limekua added kisha lifungue kisha fungua hyo tv.strm utakuta tv zote hapo
Sawa mkuu nashukuru wacha nifanye hivyo nione. Nitaleta mrejesho
 
Bonyeza ok hapo the rudi tena nyuma kweny videos file utakuta hilo folder lenye hzo tv limekua added kisha lifungue kisha fungua hyo tv.strm utakuta tv zote hapo
Ningekua mlevi ningesema nililewa kumbe nilikua nimemaliza kila kitu. Aksante mkuu. Zipo Itv...Eatv...chanel ten.... tbc... citizen na nyingine nyingi za afrika. Clouds vipi yenyewe??
 
ukiona kote haiplay ujue wapo offline. streaming za bongo ndio zilivyo ngoja wengine waje kutuhakikishia
Ahsante sana CHIEF MKWAWA.
Na kuhusu ile issue yangu ya awali ya kupata sauti tu bila picture kwa channels za Bongo nafikiri ni SIMU YANGU ndo ina shida lkn nimejaribu kwa simu ya wife naona inapiga kazi vzr.
 
Back
Top Bottom