Kila unalotakiwa kujua kuhusu IPTV (kuangalia TV kwa kutumia internet)

Ahsante sana CHIEF MKWAWA.
Na kuhusu ile issue yangu ya awali ya kupata sauti tu bila picture kwa channels za Bongo nafikiri ni SIMU YANGU ndo ina shida lkn nimejaribu kwa simu ya wife naona inapiga kazi vzr.
inamaana gpu yako ni ndogo, solution ilikuwa ni kuibrute na cpu kwa kuweka software rendering
 
Samahani chief mkwawa ktk simu yangu chaneli ya eatv picha zinakatika na sauti hakuna inakuwaje hii kitu
 
Nyingine zote zipo safi kabisa isipokuwa eatv lakini juzi ilikaa vizuri kwa masaa machache then ikawa vilevile
 
Mkuu Chief ni vipi hiyo speed hapo juu natumia halotel vipi ni nzuri?
Ukiona kodi inakusumbua tumia hii streaming ni nzuri haina tatizo lolote. Unachotakiwa ni kutoa matangazo basi. Kama una laptop unganisha hdmi na TV yako full enjoyment ni kama 300MB per one mechi. Ukiwa na halotel naona ni nzuri zaidi inakamata bila chenga bila kuchafuka.

Hii hapa www.vipbox.sx
 
Chief-Mkwawa nitapata wapii hii kitu
kuna converter/adapter za usb kwenda hdmi na kuna cable za usb kwenda hdmi.

hizo cable kwa asilimia 90% zinaweza zisifanye kazi sababu zinahitaji driver na sidhani kifaa chako kama simu au laptop kina hizo driver.

unachotakiwa kuwa nacho ni adapter za toka usb kwenda hdmi, niliwahi kuzitafuta mjini kipindi fulani bei zake zinarange kuanzia shilingi 70,000 hadi 120,000 kwangu ilikuwa ni kubwa nikaishia kununua tu gpu ili nipate hdmi port kwa bei rahisi zaidi (ilikuwa ni desktop)

angalia simu yako ina miracast au dnla? tv yako ina miracast au dnla? sometime hata hizi deki zinakuwa nazo chuinguza. kama vipo unaweza kuconect hivyo vifaa bila waya.

pia siku hizi kuna hdmi dongle nyingi tu zenye os kama android na windows kwa ajili ya tv unaweza zicheki hizi nazo
 
Duuuh thanks mkuu nimekosoma vizuri. Thanks kwa ufafanuzi mzurii ubaya nishaagiza na leo naletewa nitaleta mrejesho mkuu
 
Duuuh thanks mkuu nimekosoma vizuri. Thanks kwa ufafanuzi mzurii ubaya nishaagiza na leo naletewa nitaleta mrejesho mkuu
yap feedback ni muhimu kaka, kwa bei hio hio inayoonekana kwenye picha?
 
yap feedback ni muhimu kaka, kwa bei hio hio inayoonekana kwenye picha?
Hapana mkuu ime cost kama 23000tsh hii kitu alikuwa anataka mdogo wangu yupo tz sasa aliniagiza mimi. Ila kasema kaagiza kwa kyamu kariakoo amekuta inauzwa 20000 na delivery hadi anapoishi amefanyiwa 3000.so nasubiri anipe feedback mimi huku nimekuta ya samsung inauzwa $50 ila ni free shiping
Hii ndio alivyonitumia
 
K
inamaana gpu yako ni ndogo, solution ilikuwa ni kuibrute na cpu kwa kuweka software rendering
Kwakweli sifahamu kama gpu ya simu yangu ndi ndogo au la, but inawezekana ikawa hivyo.
ILA files nyingine kama lile la STAR TV linapiga kazi kama kawaida.
Natumia TECNO L6.
 
K

Kwakweli sifahamu kama gpu ya simu yangu ndi ndogo au la, but inawezekana ikawa hivyo.
ILA files nyingine kama lile la STAR TV linapiga kazi kama kawaida.
Natumia TECNO L6.
na ya wife je
 
Ndugu hiyo setting iko sawa?
Je nikii peleka max itakuaje?
 
Attachments

  • 1456252119063.jpg
    37.3 KB · Views: 35
Ndugu hiyo setting iko sawa?
Je nikii peleka max itakuaje?
kama huna root au hio app haina root au haitoki kwa mtengeneza simu hio app basi jua ni scam tu haifany kazi.

ukiruhusu cpu ifanye kazi hadi mwiso inamaana perfomance itaongezeka na inawezekana pia simu ikapata moto
 
App ni Rom toolbox simu yangu nimei root.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…