Kilangi masanja
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 4,495
- 5,025
Hizo nazo twafanyaje juzitumiawindows phone haina kodi, mimi hutumia youtube, universal streaming na live sports tv kuangalizia mpira.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizo nazo twafanyaje juzitumiawindows phone haina kodi, mimi hutumia youtube, universal streaming na live sports tv kuangalizia mpira.
Je simu yako inakubali mkuu hiyo tecJamani nimenunua mhl hapa nimekuja kuiconect kwa hdmi ya tv haisomi naomba kama kuna mtaalam wa kuconect anieleleze pls
Mkuu mbona kwenye simu yangu channel kama sky sports hazikubali inakuja alert kuwa kuna traffic from the server...hapo shida n nnTumezoea katika maisha yetu tukiangalia Tv basi huduma ile tunaipata kupitia madishi, cable au antenna. siku zinavyosogea mbele na technology ndivyo inavyokuwa na ndio jinsi madish na antenna vinavyopitwa wakati. leo kwenye uzi huu tutaangalia IPTV.
Ni nini hii IPTV?
IPTV ni kifupi cha Internet Protocal TeleVision. Hii ni aina ya uangaliaji TV kupitia mtandao wa internet ambapo kituo cha TV badala ya kutumia satelite dish au cable wenyewe wanarusha matangazo kwa internet.
Unawezaje kuangalia IPTV?
Utahitaji kifaa chenye internet na uwezo wa kustream ili kuweza kuangalia kama vile smartphone, tablet, laptop, desktop hadi TV zenye internet zinaweza kustream.
Internet yenye speed gani inahitajika?
Internet yoyote hata ya edge inaweza kustream ila iwe na latency nzuri, zipo stream zinahitaji speed ya 200kbps tu (25KBps). Kama una latency ndogo hata internet iwe na speed vipi huwezi kustream live utastream tu vitu ambavyo si live. Kujua zaidi kuhusu latency nenda thread hii
Je! mtandao ukiwa na download speed kubwa ndio mzuri ?
Je software gani inatumika kustream hizo TV?
Kikawaida browser yenye flash au html5 inaweza kustream tv lakini ukitaka kustream vizuri zaidi software kama VLC au KODI ni muhimu. Kutokana na uhaba wa links za VLC nitazungumzia zaidi jinsi ya kutumuia KODI kuangalizia IPTV.
KODI ni nini?
KODI ni software (media centre) ambayo hutumika kuubadili muonekano wako wa simu uwe kama TV na kuweza kuenjoy TV unazotumia na inapatikana kwenye simu, tablet, computer hadi TV.
![]()
Kuidownload nenda website yao hii hapa chini, ni bure haiuzwi
Downloads | Kodi
Nikishadownload kodi nini kinafuatia?
Utahitaji ku install plugin ili uweze kuangalia TV online. Click video add on halafu chagua watchmojo, install halafu ifungue tuone kama itafanya kazi.
![]()
KODI imefanya kazi, je siwezi angalia mpira na vipindi vyengine?
Unaweza angalia mpira chanel unayotaka kuanzia za ki-Africa kama Super sport, za Ulaya kama Sky sport, za Asia kama Bein sport hadi za kimarekani kama NBC cha muhimu uwe na plugin (add ons) husika, hizi plugin za mpira na michezo mengine zinapatikana tu internet mfano mimi plugin yangu ninayotumia inaitwa Vdtube25 ina channel nyingi sana kuanzia mpira hadi movie.
![]()
![]()
Hio hapo juu sky sport 3
Uzuri wa hizi plugin za kodi zipo TV ni HD na nyengine ni full HD kabisa hivyo internet yako tu.
Malipo?
Kila kitu kuanzia juu hadi hapa ulipofikia ni bure hutoi pesa, ila hizi plugin za bure haziaminiki zipo za kulipia ambazo hazikati ovyo. Mimi sijawahi kulipa natumia tu bure ila kama unahitaji service nzuri zaidi unaweza kulipa ila pia kuwa makini na matapeli
Tutorial ya kuweka na mahala pa kupatia plugins
kutokana na request nyingi za watu nita updates hapa mara kwa mara plugins ambazo zipo avtive
1.DNA TV
hii ipo active nimetest chanell kama BT sport na Sky sport zinafanya kazi vizuri tu. install toka hapa
Tutorial How to Install DNA TV for Kodi
ina tatizo la kuandika servel full sababu traffic ni kubwa hivyo ikiandika hivyo angalia chanell nyengine au endelea kuclick hadi ikubali.
pia kwenye repository yake kuna clone za IPTV stalker ila sijazitest.
2.PHOENIX TV
kama uli install phoenix kama .zip file pengine sasa hivi huoni kitu utahitajika kueka version mpya, tumia hii link
Tutorial How to Install Phoenix Kodi XBMC
nimetest chanell za movie na mpira zinafanya kazi
3.ISRAEL LIVE TV
sio mbaya ukiwa nayo kama backup kwenye chanell zake za sports kuna chanell za portugal huwa zinaonesha mpira japo quality si nzuri.
Tutorial How to Install IsraeLIVE Video Add-On Kodi
Kama una swali lolote usisite kuuliza chini
shida ni wao huko, ina maana watu wengi wanaangalia kwa muda huo, kwenye hio link uliosoma tutorial ameandika solution ni kujaribu tena kuiclick hio link itakubali. kama bado inakataa jaribu plugin nyengine.Mkuu mbona kwenye simu yangu channel kama sky sports hazikubali inakuja alert kuwa kuna traffic from the server...hapo shida n nn
sehemu gani ukifika inatoa hio error?Nimefanya kila kitu ila nikitaka kuangalia inanambia pctv connection lost nifanyeje
Naona msaada unitajie pluggin nyingine ambayo haisumbuishida ni wao huko, ina maana watu wengi wanaangalia kwa muda huo, kwenye hio link uliosoma tutorial ameandika solution ni kujaribu tena kuiclick hio link itakubali. kama bado inakataa jaribu plugin nyengine.
jaribu sportsdevil hio kwa kuanzia ni nzuriNaona msaada unitajie pluggin nyingine ambayo haisumbui
nyengine tumia live sport tv ila sometime link nyengine zinakuwa zimekufaNw nimepata lumis 535 msaada wakuu kwani sijui jinsi ya kuangalia game has a hizi za EPL msaada plz
Settings kivipi?? Kama ndio mara ya kwanza kuitumia nenda kwenyye acces point then add new APN wela halotel then chini yake weka internet. Kazi ni kwakoKwa anayefajamu namna ya kufanya setting ili yangu ya halotel iweze kufanya kaz kwenye access ya internet natumia tecno m3
mimi nina file la m3u list, kama unataka sema nikushushie. unatumia box au player gani kuangalia?wakuu pls naomba link ya kudownload plugin za local channels zetu
nenda setting then video then acceleration kwenye render eka software, hio husaidia kama una gpu kimeo au driver huna
chini yake kuna option mbili za hardware acceleration jaribu kuzi untick.nmeenda setting then video then acceleration ila render haipo active. Natumia latest version ya Kodi. cjui tatzo litakuwa nn mkuu ila katka PC inakubali vzuri tu