Kila unalotakiwa kujua kuhusu IPTV (kuangalia TV kwa kutumia internet)

c1a0f3936c19fcbf03143170d6186215.jpg

Kitu kimekubali
 
Hellow mkuu tafadhali naomba nielekezwe jinsi gani nifanye katka kodi niweze angalia tv za bongo kama Star tv ITV TBC Channel 10 nk naomba nielekezwe A To Z ikiwa ni pamoja na Addons husika Asante mkuu Nawasilisha.
 
Pita post za nyuma yote unayoyataka yashajadiliwa
 
Hellow mkuu tafadhali naomba nielekezwe jinsi gani nifanye katka kodi niweze angalia tv za bongo kama Star tv ITV TBC Channel 10 nk naomba nielekezwe A To Z ikiwa ni pamoja na Addons husika Asante mkuu Nawasilisha.
page ya 49, 48, 47 kushuka ndio zina hizo tv nenda utazikuta
 
nimeziweka kwenye kodi zinafanya kazi vizuri tu japo quality si kubwa sana ila server ni nzuri hazinati nati

VoORKAK.jpg

WLinGqS.jpg

pNGY6V8.jpg

jinsi ya kuzieka kwenye kodi yako

1. download attachment hapo chini
2.ikiwa kwenye pc right click then extract
3. litatokea folder la tv ndani utakuta file la tv.strm

fungua kodi then fuata njia hizi
nenda video then files then add videos, kutatokea windows click browse halafu navigate hadi lilipo folder la tv then click ok utaona neno tv ukiliclick zitatokea tv zote.

Thanks Chief kwa msaada wako. Hata sisi tulio mbali na nyumbani tunaweza sasa kuangalia matukio yanayotokea huko nyumbani.
 
Back
Top Bottom