kuna converter/adapter za usb kwenda hdmi na kuna cable za usb kwenda hdmi.
hizo cable kwa asilimia 90% zinaweza zisifanye kazi sababu zinahitaji driver na sidhani kifaa chako kama simu au laptop kina hizo driver.
unachotakiwa kuwa nacho ni adapter za toka usb kwenda hdmi, niliwahi kuzitafuta mjini kipindi fulani bei zake zinarange kuanzia shilingi 70,000 hadi 120,000 kwangu ilikuwa ni kubwa nikaishia kununua tu gpu ili nipate hdmi port kwa bei rahisi zaidi (ilikuwa ni desktop)
angalia simu yako ina miracast au dnla? tv yako ina miracast au dnla? sometime hata hizi deki zinakuwa nazo chuinguza. kama vipo unaweza kuconect hivyo vifaa bila waya.
pia siku hizi kuna hdmi dongle nyingi tu zenye os kama android na windows kwa ajili ya tv unaweza zicheki hizi nazo