Kila unalotakiwa kujua kuhusu IPTV (kuangalia TV kwa kutumia internet)

Jamani nimenunua mhl hapa nimekuja kuiconect kwa hdmi ya tv haisomi naomba kama kuna mtaalam wa kuconect anieleleze pls
 
Mkuu mbona kwenye simu yangu channel kama sky sports hazikubali inakuja alert kuwa kuna traffic from the server...hapo shida n nn
 
Mkuu mbona kwenye simu yangu channel kama sky sports hazikubali inakuja alert kuwa kuna traffic from the server...hapo shida n nn
shida ni wao huko, ina maana watu wengi wanaangalia kwa muda huo, kwenye hio link uliosoma tutorial ameandika solution ni kujaribu tena kuiclick hio link itakubali. kama bado inakataa jaribu plugin nyengine.
 
Chief-Mkwawa ile wire hml dogo kaleta mrejesho imemgomea kuonyesha japo simu yake ina huo uwezo.but nilifanya uchunguzi nimegundua kuwa inatakiwa simu iwe android 4.2 au 4.3 .kina lolpop na wengine wamewekewa limit nimeona watu wakilalamika mitaandaoni baada ya simu zao ku update kwenda kitkat
 
Kwa anayefajamu namna ya kufanya setting ili yangu ya halotel iweze kufanya kaz kwenye access ya internet natumia tecno m3
 
shida ni wao huko, ina maana watu wengi wanaangalia kwa muda huo, kwenye hio link uliosoma tutorial ameandika solution ni kujaribu tena kuiclick hio link itakubali. kama bado inakataa jaribu plugin nyengine.
Naona msaada unitajie pluggin nyingine ambayo haisumbui
 
Nw nimepata lumis 535 msaada wakuu kwani sijui jinsi ya kuangalia game has a hizi za EPL msaada plz
 
Kwa anayefajamu namna ya kufanya setting ili yangu ya halotel iweze kufanya kaz kwenye access ya internet natumia tecno m3
Settings kivipi?? Kama ndio mara ya kwanza kuitumia nenda kwenyye acces point then add new APN wela halotel then chini yake weka internet. Kazi ni kwako
 
nenda setting then video then acceleration kwenye render eka software, hio husaidia kama una gpu kimeo au driver huna

nmeenda setting then video then acceleration ila render haipo active. Natumia latest version ya Kodi. cjui tatzo litakuwa nn mkuu ila katka PC inakubali vzuri tu
 
nmeenda setting then video then acceleration ila render haipo active. Natumia latest version ya Kodi. cjui tatzo litakuwa nn mkuu ila katka PC inakubali vzuri tu
chini yake kuna option mbili za hardware acceleration jaribu kuzi untick.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…