Kila unalotakiwa kujua kuhusu IPTV (kuangalia TV kwa kutumia internet)

kama unalo file la zamani ulilokuwa unatumia basi nitumie nione format yake halafu nitakutengeneza la kwako, itakuwa rahisi, ni kuliweka tu.
Kwa kweli sina ila naomba unitengenezee lenye chaneli za afrika zikiwemo na za hapa tz ili niweke ktk iptv player
 
Kwa kweli sina ila naomba unitengenezee lenye chaneli za afrika zikiwemo na za hapa tz ili niweke ktk iptv player
sasa li unzip hilo file halafu badilisha extesion yake toka .txt na weka .m3u, halafu liweke kwenye iptv player yako. itakuwa poa kabisa.
 
Wadau naomba msaada nataka kutengeneza m3u playlist file ili nitumie ktk IPTV player. Nataka kutengeneza kwa kutumia simu yangu naomba maelekezo wadau samahani kwa usumbufu.
 
Asanteni sana kwa kutuwekea link kama hiyo now nami natizama kupitia tvizzle kwenye window phone yangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…