Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
- Thread starter
-
- #1,181
alternative ni kueka plugin kwa .zip manual lakini hutapata updates kila ikitoka version mpya utaeka hilo zipHaloo ndugu yangu Chief-Mkwawa nimejaribu kufwata maelekezo yoote jinsi ya kua Add-ons ila nikifa hapa nikibonyeza Repo niliyoiweka inaleta hako kameseji (picha)View attachment 330381 lakini internet yangu ipo imara tofauti na inavyodai, nashindwa tatizo nini nimehangaika nayo karibia week nzima sasa' nafata maelekezo yote vizuri ila nikifika hapo inasema hivyo Network is not connected! Embu nisaidie kama kuna njia nyingine brother. Ahsante.
Naam naomba unielekeze jinsi ya kuadd hizo link ni wapi na sehemu gani kwenye hii Kodi, Ahsantealternative ni kueka plugin kwa .zip manual lakini hutapata updates kila ikitoka version mpya utaeka hilo zip
pia unaweza tafuta link mwenyewe ukazi add kwenye kodi kama tunavyofanya chanell za Tanzania.
cheki page ya 47 hadi 49 kuna file la .strm na namna ya kuliweka. ukiweza lete feedback tuendelee na namna ya kuadd link nyengine.Naam naomba unielekeze jinsi ya kuadd hizo link ni wapi na sehemu gani kwenye hii Kodi, Ahsante
Poapoa mkuu ngoja nicheckcheki page ya 47 hadi 49 kuna file la .strm na namna ya kuliweka. ukiweza lete feedback tuendelee na namna ya kuadd link nyengine.
Update graphic drivers kwenye hiyo PC yako then Kodi itafunguka poa tu.nmeinstall Kido lakn nki open inandka Unable to create GUI.existing msaada tafadhal
Alafu kwa wale wanaotumia Samsung devices ni vyema ukaangalia simu yako inakuwa support8 na HML Adapter Version gani kabla hujanunua. Maana kama sijakosea kuna hadi version 4.Je simu yako inakubali mkuu hiyo tec
Pitia na hapo uangalie kama model ya simu ako inakubali MHL® – Devices
kwa mbele ina hdmi na usb? au hdmi tupuAlafu kwa wale wanaotumia Samsung devices ni vyema ukaangalia simu yako inakuwa support8 na HML Adapter Version gani kabla hujanunua. Maana kama sijakosea kuna hadi version 4. View attachment 330975
Hii hapa chini mimi ndo natumia kwenye S4
so ukichomeka inachaji simu? maana hilo ndio la muhimuIna ile port ya kuchomeka charger, hdmi cable na waya wakuingia kwenye simu
Yeah inachaji. Na ndo purpose ya hiyo port ya charge. Tazama picha hapo chini. Hapo sijachomeka tu simuso ukichomeka inachaji simu? maana hilo ndio la muhimu
mkuu hyo nmeipata ila tatzo nawezaje kui serve kwenye sim yangu?Azam wameamisha Streaming URL naona
Lazima u acess site yao kwanza ndo unaweza ku stream
Link: AzamTV
IDM imeweza Grab Streaming URL
http://154.73.170.210:1935/AZAM2/myStream/chunklist_w1453519299.m3u8
Labda hii extension baada ya /myStream/ inaweza isiwe constant
Mkuu hata s4 yenye lollipop inapiga mzigo fresh kwa adapter niliyoweka picha zake hapa jukwaanimimi pia nimeinunua ila hapa sina simu inayokubali, soon nitaleta feedback
Owk hapo nimekupata wamelimit adapter zisizo za samsung.mpaka utumie yaoMkuu hata s4 yenye lollipop inapiga mzigo fresh kwa adapter niliyoweka picha zake hapa jukwaani