Kila unalotakiwa kujua kuhusu IPTV (kuangalia TV kwa kutumia internet)

Kila unalotakiwa kujua kuhusu IPTV (kuangalia TV kwa kutumia internet)

Haloo ndugu yangu Chief-Mkwawa nimejaribu kufwata maelekezo yoote jinsi ya kua Add-ons ila nikifa hapa nikibonyeza Repo niliyoiweka inaleta hako kameseji (picha)View attachment 330381 lakini internet yangu ipo imara tofauti na inavyodai, nashindwa tatizo nini nimehangaika nayo karibia week nzima sasa' nafata maelekezo yote vizuri ila nikifika hapo inasema hivyo Network is not connected! Embu nisaidie kama kuna njia nyingine brother. Ahsante.
alternative ni kueka plugin kwa .zip manual lakini hutapata updates kila ikitoka version mpya utaeka hilo zip

pia unaweza tafuta link mwenyewe ukazi add kwenye kodi kama tunavyofanya chanell za Tanzania.
 
Naam naomba unielekeze jinsi ya kuadd hizo link ni wapi na sehemu gani kwenye hii Kodi, Ahsante
 
Naam naomba unielekeze jinsi ya kuadd hizo link ni wapi na sehemu gani kwenye hii Kodi, Ahsante
cheki page ya 47 hadi 49 kuna file la .strm na namna ya kuliweka. ukiweza lete feedback tuendelee na namna ya kuadd link nyengine.
 
nmeinstall Kido lakn nki open inandka Unable to create GUI.existing msaada tafadhal
 
Je simu yako inakubali mkuu hiyo tec

Pitia na hapo uangalie kama model ya simu ako inakubali MHL® – Devices
Alafu kwa wale wanaotumia Samsung devices ni vyema ukaangalia simu yako inakuwa support8 na HML Adapter Version gani kabla hujanunua. Maana kama sijakosea kuna hadi version 4.
1458396497431.jpg

Hii hapa chini mimi ndo natumia kwenye S4
 
Ina ile port ya kuchomeka charger, hdmi cable na waya wakuingia kwenye simu
 
Back
Top Bottom