Kikubwa ingia google na mfano andika labda MHL Adapter for S3 utapata web ya samsung inayoelezea version za hizo HML na device gani iko supported kwa adapter ya version gani.Owk hapo nimekupata wamelimit adapter zisizo za samsung.mpaka utumie yao
Ni kweli mkuu tatizo unaweza kuta wamebadili hizo streming frequency zao.tusubiriwakuu salama/
inakuaje toka juzi hizi iptv za hapa bongo zimepotea zote imebaki start tv na azam two?
tupo tunatumia hii kodi mlio tuelekeza.
msaada kama kuna new links..
asanteni
amani ya mola kwa wote
Bado kiongoziiwakuu salama/
hakuna kipya kuhusu iptv local channel naona mpaka sasa links down.
Sio usb hiyo inaitwa hdmi! inauzwa nenda kariakoo ila mpaka simu yako iwe inasuport! Ingia google uulize aina za simu zinazokubali connection ya hdmiMsaada wadau
Mwenye kujua namna ya kuunganiasha simu na USB itumike kama trans file kutka kwenye simu --TV / deck msaada tafadhali natumia nokia5130
Hellow mkuu tafadhali naomba nielekezwe jinsi gani nifanye katka kodi niweze angalia tv za bongo kama [Queto=Star tv ITV TBC Channel 10]Na mimi pia mkuu[/Queto] nk naomba nielekezwe A To Z ikiwa ni pamoja na Addons husika Asante mkuu Nawasilisha.
Ni UNZIP kwa kutumia apps gani? msaadakwanza unzip hilo file halafu weka kwenye vlc player, utaona channels kibao hapo za nje.
karibu mara zote ukipata matatizo ya kutoona kitu kwenye kodi ujue ni tatizo la gpunifanyaje??...kila napofungua Kodi video zake zinakuwa hazina rangi nzuri inakuwa kama black and white muda wooote.