Kila unalotakiwa kujua kuhusu IPTV (kuangalia TV kwa kutumia internet)

Kila unalotakiwa kujua kuhusu IPTV (kuangalia TV kwa kutumia internet)

Owk hapo nimekupata wamelimit adapter zisizo za samsung.mpaka utumie yao
Kikubwa ingia google na mfano andika labda MHL Adapter for S3 utapata web ya samsung inayoelezea version za hizo HML na device gani iko supported kwa adapter ya version gani.
 
wakuu salama/

inakuaje toka juzi hizi iptv za hapa bongo zimepotea zote imebaki start tv na azam two?
tupo tunatumia hii kodi mlio tuelekeza.
msaada kama kuna new links..

asanteni
amani ya mola kwa wote
 
wakuu salama/

inakuaje toka juzi hizi iptv za hapa bongo zimepotea zote imebaki start tv na azam two?
tupo tunatumia hii kodi mlio tuelekeza.
msaada kama kuna new links..

asanteni
amani ya mola kwa wote
Ni kweli mkuu tatizo unaweza kuta wamebadili hizo streming frequency zao.tusubiri
 
mkuu tatizo kubwa sie tupo mbali na home tunahamu na habari za huko.....mtu kama upo tz mambo fiti huna haja hata na hayo ma stream
 
wakuu salama/
hakuna kipya kuhusu iptv local channel naona mpaka sasa links down.
 
Kitu ambacho tumeshindwa kujua alokua ana Stream hizi links ni nani au ni kampuni gani
Then kutokea hapo tunaweza jua play around

Je ni TTCL IPTV au?
 
Msaada wadau

Mwenye kujua namna ya kuunganiasha simu na USB itumike kama trans file kutka kwenye simu --TV / deck msaada tafadhali natumia nokia5130
 
Msaada wadau

Mwenye kujua namna ya kuunganiasha simu na USB itumike kama trans file kutka kwenye simu --TV / deck msaada tafadhali natumia nokia5130
Sio usb hiyo inaitwa hdmi! inauzwa nenda kariakoo ila mpaka simu yako iwe inasuport! Ingia google uulize aina za simu zinazokubali connection ya hdmi
 
Hellow mkuu tafadhali naomba nielekezwe jinsi gani nifanye katka kodi niweze angalia tv za bongo kama [Queto=Star tv ITV TBC Channel 10]Na mimi pia mkuu[/Queto] nk naomba nielekezwe A To Z ikiwa ni pamoja na Addons husika Asante mkuu Nawasilisha.
 
nifanyaje??...kila napofungua Kodi video zake zinakuwa hazina rangi nzuri inakuwa kama black and white muda wooote.
 
nifanyaje??...kila napofungua Kodi video zake zinakuwa hazina rangi nzuri inakuwa kama black and white muda wooote.
karibu mara zote ukipata matatizo ya kutoona kitu kwenye kodi ujue ni tatizo la gpu

1. hakikisha gpu yako ipo up to date kwa kueka driver zake

2. ingia kwenye kodi halafu nenda setting halafu video halafu acceleration utaona kitu kama hichi

800px-Settings.videos.acceleration.png


eka iwe software rendering halafu uangalie kama itasolve
 
wakuu nimeingia kupitia Espn inanitaka niingize tv provider wangu nainanipa orodha ya provider kibao akiwepo ambazo ni AT & T u-verse,Bright House network, google fiber nimejaribu kutumia google fiber lakini area yangu hairuhusu kutumia msaada plz natumia desktop
 
Back
Top Bottom