Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
- Thread starter
-
- #1,221
hio ni mitandao ya marekani kama huishi huko itakua ngumuwakuu nimeingia kupitia Espn inanitaka niingize tv provider wangu nainanipa orodha ya provider kibao akiwepo ambazo ni AT & T u-verse,Bright House network, google fiber nimejaribu kutumia google fiber lakini area yangu hairuhusu kutumia msaada plz natumia desktop
Km simu ina miracast na tv pia unaweza kushare wirelessly au pia DLNA piaMsaada wadau
Mwenye kujua namna ya kuunganiasha simu na USB itumike kama trans file kutka kwenye simu --TV / deck msaada tafadhali natumia nokia5130
Geniusnimeziweka kwenye kodi zinafanya kazi vizuri tu japo quality si kubwa sana ila server ni nzuri hazinati nati
jinsi ya kuzieka kwenye kodi yako
1. download attachment hapo chini
2.ikiwa kwenye pc right click then extract
3. litatokea folder la tv ndani utakuta file la tv.strm
fungua kodi then fuata njia hizi
nenda video then files then add videos, kutatokea windows click browse halafu navigate hadi lilipo folder la tv then click ok utaona neno tv ukiliclick zitatokea tv zote.
Safi sana mkuu asante ipo vizuribadili hiyo .txt na weka .m3u
nyingi za bongo sasa zinafanya kazi, isipokuwa itv na eatv tu.
Mkubwaaaa kula tano kwa msaada wako, but nataka kukopi hiyo linki nisiipoteze kwe simu yangu, nafanyaje. Msaada plizHaya wadau wote wa jf hasa wapenda muziki hebu burudikeni na linki hii http://nodeb.gocaster.net:1935/CGL/_definst_/TODAYFM_TEST2/.m3u8 hiyo ni CITY TV
Muvi kali, ila hiyo lugamix ndo shidah..bora ungeweka za kiswahili kama unazo"Haya wadau wa humu kwa wale wapendao movie kali za action linki hizo hapo : http://fr978.edem.tv/iptv/YKDXHPH6S4WQLX/708/index.m3u8 Hiyo ni SONY TURBO
http://fr978.edem.tv/iptv/YKDXHPH6S4WQLX/209/index.m3u8 Hiyo ni MGM HD
Mbona upande wa mobile inakataa inataka niingize user name
Inabidi ufanye maboresho kwenye Kodi kupitia plugin ya Advanced Settings. Maelezo yote unaweza kuyafuata kiurahisi kupitia video hii hapa (youtube). Nadhani itakusaidia.Nimedownload kodi nikaweka Dna tv na Zem tv ila buferring kila dakika kwa halotel internet
Thanx ntajaribuInabidi ufanye maboresho kwenye Kodi kupitia plugin ya Advanced Settings. Maelezo yote unaweza kuyafuata kiurahisi kupitia video hii hapa (youtube). Nadhani itakusaidia.