Kila unalotakiwa kujua kuhusu IPTV (kuangalia TV kwa kutumia internet)

Kila unalotakiwa kujua kuhusu IPTV (kuangalia TV kwa kutumia internet)

wakuu nimeingia kupitia Espn inanitaka niingize tv provider wangu nainanipa orodha ya provider kibao akiwepo ambazo ni AT & T u-verse,Bright House network, google fiber nimejaribu kutumia google fiber lakini area yangu hairuhusu kutumia msaada plz natumia desktop
hio ni mitandao ya marekani kama huishi huko itakua ngumu
 
Msaada wadau

Mwenye kujua namna ya kuunganiasha simu na USB itumike kama trans file kutka kwenye simu --TV / deck msaada tafadhali natumia nokia5130
Km simu ina miracast na tv pia unaweza kushare wirelessly au pia DLNA pia
 
Nirahisi sana kutazama channel mbalimbali za Tv online kwa kutumia app ya Bongo Tv , Kama tu unahitaji kuitumia computer yako kama Tv, na kupitia app hiyo utaweza kutazama ligi mbalimbali za ulaya kwenye channel za PTV, SKY pamoja na channel nyingine ambazo tunaziongeza kadri tuwezavyo, pia utaweza kutazama miichezo ya ligi kuu kwa kupitia azam two lakini pia utaweza kutazama habari kutoka channel mbalimbali kama Star Tv, BBC, i24, Who Tv, n.k. NB: KWA SASA INAPATIKANA KWA WATUMIAJI WA COMPUTER PEKEE, ila bado tunafanya maboresho ili watumiaji wa simu nao waweze kupataa hhuduma hii. Bongo Tv
Screenshot (42).png
Screenshot (43).png
Screenshot (44).png
Screenshot (45).png
Screenshot (46).png
Screenshot (47).png
Screenshot (48).png
Screenshot (49).png
Screenshot (50).png
Screenshot (51).png
Screenshot (52).png
Screenshot (53).png
Screenshot (42).png Screenshot (43).png Screenshot (44).png Screenshot (45).png Screenshot (46).png Screenshot (47).png Screenshot (48).png Screenshot (49).png Screenshot (50).png Screenshot (51).png Screenshot (52).png Screenshot (53).png Screenshot (42).png Screenshot (43).png Screenshot (44).png Screenshot (45).png Screenshot (46).png Screenshot (47).png Screenshot (48).png Screenshot (49).png Screenshot (50).png Screenshot (51).png Screenshot (52).png Screenshot (53).png Screenshot (42).png Screenshot (43).png Screenshot (44).png Screenshot (45).png Screenshot (46).png Screenshot (47).png Screenshot (48).png Screenshot (49).png Screenshot (50).png Screenshot (51).png Screenshot (52).png Screenshot (53).png Screenshot (42).png Screenshot (43).png Screenshot (44).png Screenshot (45).png Screenshot (46).png Screenshot (47).png Screenshot (48).png Screenshot (49).png Screenshot (50).png Screenshot (51).png Screenshot (52).png Screenshot (53).png
Screenshot (42).png
Screenshot (43).png
Screenshot (44).png
Screenshot (45).png
Screenshot (46).png
Screenshot (47).png
Screenshot (48).png
Screenshot (49).png
Screenshot (50).png
Screenshot (51).png
Screenshot (52).png
Screenshot (53).png
Screenshot (42).png Screenshot (43).png Screenshot (44).png Screenshot (45).png Screenshot (46).png Screenshot (47).png Screenshot (48).png Screenshot (49).png Screenshot (50).png Screenshot (51).png Screenshot (52).png Screenshot (53).png
 
nimeziweka kwenye kodi zinafanya kazi vizuri tu japo quality si kubwa sana ila server ni nzuri hazinati nati

VoORKAK.jpg

WLinGqS.jpg

pNGY6V8.jpg


jinsi ya kuzieka kwenye kodi yako

1. download attachment hapo chini
2.ikiwa kwenye pc right click then extract
3. litatokea folder la tv ndani utakuta file la tv.strm

fungua kodi then fuata njia hizi
nenda video then files then add videos, kutatokea windows click browse halafu navigate hadi lilipo folder la tv then click ok utaona neno tv ukiliclick zitatokea tv zote.
Genius
 
badili hiyo .txt na weka .m3u
nyingi za bongo sasa zinafanya kazi, isipokuwa itv na eatv tu.
 

Attachments

Jamani naomba kuuliza hivi hizo plugin kama vdtube25 nazi download vipi??? Naombeni msaada...
#Chief mkwawa
#mwl.RCT
 
Nimedownload kodi nimeinstall zemtv addon na Dna tv ila tatizo ni buffering kila dakika natumia Halotel kwa modem
 
Nimedownload kodi nikaweka Dna tv na Zem tv ila buferring kila dakika kwa halotel internet
 
Back
Top Bottom