Kila unalotakiwa kujua kuhusu IPTV (kuangalia TV kwa kutumia internet)

natumia kodi kwa pc ila nataka ninunue kodi android device ambayo iko na addons preloaded amazon, kuna mtu mwenye uzoefu navyo maana hofu yangu ni namna ya ku connect internet, ntatumia modem au njia ipi? Chief-Mkwawa Njunwa Wamavoko
 
Naomba maelekezo ya jinsi ya kuziingiza hizo links kwenye kodi
 
natumia kodi kwa pc ila nataka ninunue kodi android device ambayo iko na addons preloaded amazon, kuna mtu mwenye uzoefu navyo maana hofu yangu ni namna ya ku connect internet, ntatumia modem au njia ipi? Chief-Mkwawa Njunwa Wamavoko

M8S na M8S+ zina Support 3G angalia ebay baadhi kule chini kwenye Connectivity utakuta wameandika 3G support.

Other android boxes including hizo m8s zina Support WiFi na Ethernet.

Nimewai nunua MXQ siku za nyuma ila nkai shortcircuit kwa kumix up adapter yake nkaiwekea ya volts nyingi.

Nimeagiza tena hiyo M8S sababu mm nazipenda hizi android device sababu ya Mobodro ukiwa na mobodro sidhani hata kama unaitaji Kodi I see inakua kama unatumia premium service kabisa

M8S ni standard box ikiwa na 8GB ROM na 2G RAM kuna ambazo ziko Rooted sellers wanaita Jailbroken

Example
M8S on Ebay
 
Ndio nimenunua juzi m8s plus jail broken. Hii unatumia wifi au ethrnet
 
ninavyojua kifaa chochote chenye usb otg kinakubali modem, mimi nazichomeka sana kwenye simu na ule waya wa otg
 
Ulaji wake wa bando ni kama ilivyo kwa Qsat(kwa xperience nikiyonayo) au inakula sana?
Je, chaneli muhimu za tz zaweza kuwekwa zote au ni hizi chache tu!?
 
ninavyojua kifaa chochote chenye usb otg kinakubali modem, mimi nazichomeka sana kwenye simu na ule waya wa otg

Sikujua hiyo...
Unafahamu vipi device ina support OTG kwa kucheki USB kama ni USB 2.0 Plus ama?
Je hizi MHL cable nazo ziko based kwenye OTG to HDMI?

Kuna mtu alitaka nimsaidie kuchomeka simu yake kwenye HDMI ya TV nkashindwa nimwambie nini simu ni Galaxy A7 2016 version,Nilivofatilia mtandaoni wanasema latest 2016 phones samsung wame disable hiyo capability,sijui kama kuna ukweli hivo sikutaka kumchomesha jamaa.
 
Ulaji wake wa bando ni kama ilivyo kwa Qsat(kwa xperience nikiyonayo) au inakula sana?
Je, chaneli muhimu za tz zaweza kuwekwa zote au ni hizi chache tu!?

hizo android box faida yake ni hapo kwenye Mobodro sababu mobodro ni free streaming service na link zake nyingi ziko poa
na ziko nyingi katika SD hivo sidhani kama ni sawa na hiyo QSAT ambayo nilikua naona imejaa Bein Sports HD sasa HD lazima zikukamue.

Sanjali na hilo hauwezi weka local channel za ziada za Free labda ulipie TTCL IPTV service au kuna app nyingine ya kibongo nimesahau jina ipo playstore
 
Mi natumia MXQ-4K Ultra HD ila mobdro inanizingua ila kodi ipo njema sana tu,Youtube
 
nimecheki online mbona kama inayo otg?

nunua ile cable ya otg sh 3000 tu aggrey pale halafu chomeka flash ikisoma ujue ipo otg.

pia kama hela anayo anunue adapter ya samsung ya usb kwenda samsung.

kuhusu mhl ni mhl inabidi manufacture wenyewe waieke ila nafkiri zipo version tofauti inabidi ucheki site ya mhl ujue simu yako inakubali version ipi.
 
Naomba maelekezo ya jinsi ya kuziingiza hizo links kwenye kodi
Jaribu kufuata process hii: (kama una tatizo soma hii makala)


1 Adding sources

  • Step 1: Select "Videos" in the home screen menu.


  • Step 2: Select Files, then select "Add Videos". Note: if you do not see an option "Add Videos", you need to enable it by going to Settings > Appearance > File Lists > Show 'add source' buttons.


  • Step 3: The "Add Video Source" screen will be displayed. Then select the "Browse" button.
    Note: You can also type a local or network file path directly into this box, if you already know the address/path. For example, smb://192.162.0.4 could be typed in directly and saved, which will skip the "browsing" step.

  • Step 4: Now browse to where you keep your videos stored. Once you have found the folder you keep your videos in, select the "OK" button. If you keep them shared on a network drive, read the Configuring PC Shares article for more information about setting up a share on your computer first.


  • Step 5: Name this Video Source however you like. If it is a movie folder, you will probably want to name it "Movies", and if it is a TV Show folder then you will probably want name it TV Shows. The name doesn't matter to Kodi. Then select "OK".


  • Step 6: The set content window will display, this is where you tell Kodi what type of media is in the folder. Press the down arrow until you reach the correct type (in this example movies)


  • Step 7: There are a number of options underneath, see Setting content and scanning to check what options to enable. Then select "OK"


  • Step 8: Press Yes to scan the content to the library (if no is pressed, it can be scanned later).
 
Mi natumia MXQ-4K Ultra HD ila mobdro inanizingua ila kodi ipo njema sana tu,Youtube

inategemea unaposema kodi iko njema kuzidi Mobodro lazima useme addons unazotumia sababu shida sio kodi shida ni addons na congestion ya watu wanaotumia hiyo addon comparing it to the server handling capacity.

Mfano kuna kitu inaitwa VEVO playlist na hii inazaa VEVO hits na channel kama hizo iko ktk mobodro ila ina buffer hamna mfano nimefanikiwa kuikuta hii channel kwenye huduma moja ya kulipia ya Kodi addon na bado ikawa ina buffer ila mwisho nkagundua Streaming URL inatoka VEVO sio server ya hao jamaa na ka conclude hii channel ina Buffer sana sababu huenda ni free playslist inatumika na streamers wengi.
 

hapo kwenye adapter ya samsung ya USB kwenda Samsung sijakusoma Mkuu

Naweza kuona picha ya hiyo adapter ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…