Kila unalotakiwa kujua kuhusu IPTV (kuangalia TV kwa kutumia internet)

Hapo add on bora ni Exodus tu kwa movie, hizo zingine ni vimeo
umeinstall ukaona ni nini? hio sio addon, ni script inayoeka addon automatic, inaingiza addons nyingi tu na nimezitest zinafanya kazi.
 
Monitor zenye Wide colour Gamut ni kama za aina gan??? Na vp kuhusiana na price yake?
monitor nyingi za 4k ndio zinakuwa na hizo rangi nyingi, bei zake ni around milioni moja kupanda juu.
 
monitor nyingi za 4k ndio zinakuwa na hizo rangi nyingi, bei zake ni around milioni moja kupanda juu.
Mkuu naomba unisaidie kitu kimoja samahani.Hakihusiani na topic hii wala hii post niliyokunukuu.Simu inakataa kuinstall applications.Inadownload had mwisho kisha inaandika "can't install this app in sd card"...Naondokana vipi na tatizo hilo au kama ni kitu tayari kimejadiliwa humu naomba link mkuu...Sorry kwa kuchanganya humu
 
kuna baadhi ya apps huwa hazikubali kukaa kwenye memory card (external sd card) mfano whatsapp, hakikisha hio app unaieka kwenye internal memory.

nenda setting halafu storage sometime kunakuwa na option. ya kuchange default storage iwe memory card au internal memory,
 
wadau kuna mbadala wa kodi xbmc ambazo ni spmc,cemc na Jesus box media zote unazipata play store.
 
mfano hapo katika upande wa display port yenye connector ya vga katika upande wa kuconnect na Display hapo unakuwa unapokea quality ya display port au ya vga?
 
mfano hapo katika upande wa display port yenye connector ya vga katika upande wa kuconnect na Display hapo unakuwa unapokea quality ya display port au ya vga?
View attachment 497889View attachment 497889 View attachment 497889
quality ya vga. siku zote unapotumia vitu viwili kimoja chenye speed ndogo na chengine speed kubwa jua utapata speed ndogo.

sema kibongo bongo vga bado ni quality inayotosha inapiga mzigo kwa full HD na hata 2K, sema itachemsha hapo 2k kuelekea 4K kwa wale wachache wenye monitor/tv za ultra HD
 
Mkuu naomba nielezee namna ambavyo tv stick with kodi inavyofanya kazi!![emoji116]
 
Attachments

  • 4K-TV-Box-2015-Version.jpg
    30.1 KB · Views: 106
Mkuu naomba nielezee namna ambavyo tv stick with kodi inavyofanya kazi!![emoji116]
hayo ni maneno tu ya biashara mkuu, ni kama mtu anasema nauza simu yenye whatsapp, kodi unaweza kuieka kwenye karibia operating system zote na vifaa vyote duniani. hivyo mtu anaweza akakuuzia tv stick ya android ambayo ndani ame install kodi.

tv stick yenyewe inakuwa ni kifaa kidogo kama flash au modem kinakuwa na port ya HDMI unaichomeka nyuma kwenye tv. ukishaichomeka tv yako inakuwa na android na unaweza kuinstall app zote za android ikiwemo hio kodi. kwenye matumizi hakuna tofauti kati ya kodi ya laptop, simu au tv stick ni ile ile, sema tu kwenye stick uta navigate kwa kutumia remote badala ya mouse au touch, na ukiamua pia unaweza tumia mouse ya bluetooth.

ipo kama hivi tv stick

hapa imechomekwa kwenye tv
 
Asante mkuu,mimi tv yangu ni Samsung smart tv,je nitafanyaje ili iwe na operating system ya android ili niweze kutumia stick tv? kwa sababu umeeleza kuwa ili nitumie stick tv ni lazima niwe na operating system ya android!
 
hapana mkuu labda hatujaelewana

hio tv stick ndio itakupa android,

ukichomeka hio stick kwenye smart tv yako ya samsung na ukachagua hdmi basi tv yako itakuwa na android.
 
hapana mkuu labda hatujaelewana

hio tv stick ndio itakupa android,

ukichomeka hio stick kwenye smart tv yako ya samsung na ukachagua hdmi basi tv yako itakuwa na android.
Asante mkuu!.......hiyo stick tv huwa inawekwaje bundle la internet?ina line kama ya simu au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…