BUSARA6
JF-Expert Member
- Jan 8, 2007
- 357
- 52
Ingia ebay chagua box unayoitaka halafu nitumie mimi nitakununulia.Malipo mpaka mzigo utakapo kufikia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hii script inafanya kila kitu chanell zote utapata
Automatically Configure the Best Kodi Addons (16.1 Jarvis or Below)
umeinstall ukaona ni nini? hio sio addon, ni script inayoeka addon automatic, inaingiza addons nyingi tu na nimezitest zinafanya kazi.Hapo add on bora ni Exodus tu kwa movie, hizo zingine ni vimeo
monitor nyingi za 4k ndio zinakuwa na hizo rangi nyingi, bei zake ni around milioni moja kupanda juu.Monitor zenye Wide colour Gamut ni kama za aina gan??? Na vp kuhusiana na price yake?
Mkuu naomba unisaidie kitu kimoja samahani.Hakihusiani na topic hii wala hii post niliyokunukuu.Simu inakataa kuinstall applications.Inadownload had mwisho kisha inaandika "can't install this app in sd card"...Naondokana vipi na tatizo hilo au kama ni kitu tayari kimejadiliwa humu naomba link mkuu...Sorry kwa kuchanganya humumonitor nyingi za 4k ndio zinakuwa na hizo rangi nyingi, bei zake ni around milioni moja kupanda juu.
kuna baadhi ya apps huwa hazikubali kukaa kwenye memory card (external sd card) mfano whatsapp, hakikisha hio app unaieka kwenye internal memory.Mkuu naomba unisaidie kitu kimoja samahani.Hakihusiani na topic hii wala hii post niliyokunukuu.Simu inakataa kuinstall applications.Inadownload had mwisho kisha inaandika "can't install this app in sd card"...Naondokana vipi na tatizo hilo au kama ni kitu tayari kimejadiliwa humu naomba link mkuu...Sorry kwa kuchanganya humu
Mkuu msaada please!.......naweza kununua wapi online simu za infinix?monitor nyingi za 4k ndio zinakuwa na hizo rangi nyingi, bei zake ni around milioni moja kupanda juu.
mkuu infinix ni sawa na Tecno, viwa, itel etc ni simu zinazolenga masoko yetu huku sababu haziwezi kushindana masoko makubwa. kuzipata online itabidi pia uangalie website za huku kwetu Africa.Mkuu msaada please!.......naweza kununua wapi online simu za infinix?
Asante kaka!mkuu infinix ni sawa na Tecno, viwa, itel etc ni simu zinazolenga masoko yetu huku sababu haziwezi kushindana masoko makubwa. kuzipata online itabidi pia uangalie website za huku kwetu Africa.
mfano kupatana zipo nyingi tu
https://kupatana.com/search/pattern,infinix
Asante kaka!mkuu infinix ni sawa na Tecno, viwa, itel etc ni simu zinazolenga masoko yetu huku sababu haziwezi kushindana masoko makubwa. kuzipata online itabidi pia uangalie website za huku kwetu Africa.
mfano kupatana zipo nyingi tu
https://kupatana.com/search/pattern,infinix
mfano hapo katika upande wa display port yenye connector ya vga katika upande wa kuconnect na Display hapo unakuwa unapokea quality ya display port au ya vga?1.itategemea kwanza na display yako, iwe tv au monitor. kama diaplay ni HD ya kawaida ambayo hata wide color gamut haina huna haja ya kujihangaisha kutafuta box au pc inayotoa resolution kubwa na ubora mkubwa sababu display yako haina uwezo wa kuvionesha hivyo vitu.
2. kuhusu tv box na pc hapa inategemea na gpu/media encoder/decoder iliotumika mkuu, kama box lina gpu nzuri basi box litaonesha resolution kubwa na vice versa.
ila mimi hupendelea zaidi pc sababu inanipa option nyingi ila kama huna matumizi ya pc tv box ni zuri zaidi sababu ya bei.
pia resolution sio kitu pekee cha kuangalia, siku hizi kuna codecs mpya za x265 na vp9 ukiwa nazo utatumia mb chache kuangalia vitu vyenye quality kubwa, hivyo hakikisha hilo box linakubali x265.
3. kuhusu cable nzuri na za kisasa kwa sasa ni HDMI na Display port, hii display port ni zaidi kwenye pc na wataalamu, HDMI ndio sana inatumika majumbani.
ila HDMI nayo ina version nyingi ipo ya kwanza, 1.4, 2.0, 2.1 etc hivyo hakikisha atleast una HDMI ya kisasa, hio 2.1 ndio latest hata ukikosa hio angalau 1.4 uwe nayo.
jinsi version inavyokuwa kubwa ndio jinsi inavyokuwa na bandwidth kubwa na kupitisha resolution kubwa.
kuijua cheki specs za kifaa husika
quality ya vga. siku zote unapotumia vitu viwili kimoja chenye speed ndogo na chengine speed kubwa jua utapata speed ndogo.mfano hapo katika upande wa display port yenye connector ya vga katika upande wa kuconnect na Display hapo unakuwa unapokea quality ya display port au ya vga?
View attachment 497889View attachment 497889 View attachment 497889
Mkuu naomba nielezee namna ambavyo tv stick with kodi inavyofanya kazi!![emoji116]quality ya vga. siku zote unapotumia vitu viwili kimoja chenye speed ndogo na chengine speed kubwa jua utapata speed ndogo.
sema kibongo bongo vga bado ni quality inayotosha inapiga mzigo kwa full HD na hata 2K, sema itachemsha hapo 2k kuelekea 4K kwa wale wachache wenye monitor/tv za ultra HD
hayo ni maneno tu ya biashara mkuu, ni kama mtu anasema nauza simu yenye whatsapp, kodi unaweza kuieka kwenye karibia operating system zote na vifaa vyote duniani. hivyo mtu anaweza akakuuzia tv stick ya android ambayo ndani ame install kodi.Mkuu naomba nielezee namna ambavyo tv stick with kodi inavyofanya kazi!![emoji116]
Asante mkuu,mimi tv yangu ni Samsung smart tv,je nitafanyaje ili iwe na operating system ya android ili niweze kutumia stick tv? kwa sababu umeeleza kuwa ili nitumie stick tv ni lazima niwe na operating system ya android!hayo ni maneno tu ya biashara mkuu, ni kama mtu anasema nauza simu yenye whatsapp, kodi unaweza kuieka kwenye karibia operating system zote na vifaa vyote duniani. hivyo mtu anaweza akakuuzia tv stick ya android ambayo ndani ame install kodi.
tv stick yenyewe inakuwa ni kifaa kidogo kama flash au modem kinakuwa na port ya HDMI unaichomeka nyuma kwenye tv. ukishaichomeka tv yako inakuwa na android na unaweza kuinstall app zote za android ikiwemo hio kodi. kwenye matumizi hakuna tofauti kati ya kodi ya laptop, simu au tv stick ni ile ile, sema tu kwenye stick uta navigate kwa kutumia remote badala ya mouse au touch, na ukiamua pia unaweza tumia mouse ya bluetooth.
ipo kama hivi tv stick
![]()
hapa imechomekwa kwenye tv
![]()
hapana mkuu labda hatujaelewanaAsante mkuu,mimi tv yangu ni Samsung smart tv,je nitafanyaje ili iwe na operating system ya android ili niweze kutumia stick tv? kwa sababu umeeleza kuwa ili nitumie stick tv ni lazima niwe na operating system ya android!
Asante mkuu!.......hiyo stick tv huwa inawekwaje bundle la internet?ina line kama ya simu au?hapana mkuu labda hatujaelewana
hio tv stick ndio itakupa android,
ukichomeka hio stick kwenye smart tv yako ya samsung na ukachagua hdmi basi tv yako itakuwa na android.