Alietoa hii Mada kasahau kusema kuwa lazima uwe na matumizi unlimited internet . MB kiduchu na figusu figisu za internet bongo itakuwa ngumu kutumia IPTV. Canada tunatumia broadband internet, super fast na mabando yasiyo na kikomo ndiyo maana iptv inawezekana. Tanzania internet bado ni huduma ya luxury. Live Streaming ya TV itamaliza bando lako la tigo within no time.vp inatumia mb??
hapana mkuu hata mb kiduchu unatumia kustream cha muhimu ni kujitambua, unaweza stream siku nzima ukatumia mb 500 tu na quality kama ya 144pAlietoa hii Mada kasahau kusema kuwa lazima uwe na matumizi unlimited internet . MB kiduchu na figusu figisu za internet bongo itakuwa ngumu kutumia IPTV. Canada tunatumia broadband internet, super fast na mabando yasiyo na kikomo ndiyo maana iptv inawezekana. Tanzania internet bado ni huduma ya luxury. Live Streaming ya TV itamaliza bando lako la tigo within no time.
tdot
acestream ni aina ya kustream unaweza ukaieka kwenye kodi ukitaka ila kikawaida unastream kwenye player kama vlc.Acestream nayo ni add on?!
Hii quality unaweza kuiweka kwny setting au kwa kuchagua video quality ya streaming yenyewe?hapana mkuu hata mb kiduchu unatumia kustream cha muhimu ni kujitambua, unaweza stream siku nzima ukatumia mb 500 tu na quality kama ya 144p
Nataka kuiweka kwny kodiacestream ni aina ya kustream unaweza ukaieka kwenye kodi ukitaka ila kikawaida unastream kwenye player kama vlc.
quality inategemea mfano youtube unachagua mwenyewe kuna site nyengine pia unachagua mwenyewe ila site nyengine huwezi.Hii quality unaweza kuiweka kwny setting au kwa kuchagua video quality ya streaming yenyewe?
inawezekana mkuu, ila links ni mpya hivyo itabidi ziunganishwe tena, nitajaribu kuangalia uwezekano, ukiona kimya sana utanikumbusha.Chief kuna kipindi niliwahi kuangalia baadhi ya local channel zetu za bongo kupitia kodi ila sasa hivi zimegoma msaada kidogo kama inawezekana. Mara ya mwisho hii tutorial ilifanya kazi
Chief kuna kipindi niliwahi kuangalia baadhi ya local channel zetu za bongo kupitia kodi ila sasa hivi zimegoma msaada kidogo kama inawezekana. Mara ya mwisho hii tutorial ilifanya kazi
Apk ya mobdro nahic ilifungwa maana hata kwangu haifanyi kazi, may b kuwe kuna apk nyingine mbadala,Wakuu heshima kwenu msaada kwa mwenye link ya kudownload apk ya mobdro
official site yao ni hiiWakuu heshima kwenu msaada kwa mwenye link ya kudownload apk ya mobdro
Chief mkwawa umetisha, asante, nmeitafuta sana,
sometime inakuwa addon labda ni ya zamani imeshakuwa outdated, au haifanyi kazi tena etc,Habari chief
Ebana nimejaribu kuinstall hii add on ya vdtube25, ila kila nikifika katika install from zip file nikifungua haziji zile data zinazotakiwa kuja, yani inakuwa kana kwamba file haina kitu. Nn tatizo hapo mkuu.
0656-565758 niunge mkuu wanguKwa wale mafundi wa madish tu,naomba namba yako ya simu hapa yenye akaunti ya whatsapp au PM nikuunge kwenye group kwa lengo la kubadilishana ujuzi tu
So hiyo vtube25 ambayo unatumia nayo ni outdatedsometime inakuwa addon labda ni ya zamani imeshakuwa outdated, au haifanyi kazi tena etc,
Addons za humu nyingi zimeshakuwa outdated, inabidi u google mpya.