Kila unalotakiwa kujua kuhusu IPTV (kuangalia TV kwa kutumia internet)

vp inatumia mb??
Alietoa hii Mada kasahau kusema kuwa lazima uwe na matumizi unlimited internet . MB kiduchu na figusu figisu za internet bongo itakuwa ngumu kutumia IPTV. Canada tunatumia broadband internet, super fast na mabando yasiyo na kikomo ndiyo maana iptv inawezekana. Tanzania internet bado ni huduma ya luxury. Live Streaming ya TV itamaliza bando lako la tigo within no time.

tdot
 
hapana mkuu hata mb kiduchu unatumia kustream cha muhimu ni kujitambua, unaweza stream siku nzima ukatumia mb 500 tu na quality kama ya 144p
 
Hii quality unaweza kuiweka kwny setting au kwa kuchagua video quality ya streaming yenyewe?
 
quality inategemea mfano youtube unachagua mwenyewe kuna site nyengine pia unachagua mwenyewe ila site nyengine huwezi.
 
Chief kuna kipindi niliwahi kuangalia baadhi ya local channel zetu za bongo kupitia kodi ila sasa hivi zimegoma msaada kidogo kama inawezekana. Mara ya mwisho hii tutorial ilifanya kazi
 
inawezekana mkuu, ila links ni mpya hivyo itabidi ziunganishwe tena, nitajaribu kuangalia uwezekano, ukiona kimya sana utanikumbusha.
 
Chief kuna kipindi niliwahi kuangalia baadhi ya local channel zetu za bongo kupitia kodi ila sasa hivi zimegoma msaada kidogo kama inawezekana. Mara ya mwisho hii tutorial ilifanya kazi

kuanzia mkuu ITV hii hapa,

http://pyv1ony2.motaso.com:1935/live/_definst_/itv_360p/playlist.m3u8

unaweza tumia Kodi, mxplayer, vlc na app yoyote ya livestream, hope unajua kutengeneza lile file la livestream la kodi.

unaweza pia kutumia browser, nimetest na chrome android.

update
tv zote mbili za app ya ITV nimezipata moja ni hio itv ya hapo juu na nyengine ni capital, kuipata capital kwenye hio url ya itv change itv_360p iwe capital_360p.

kwa azam nazipata adress lakini naona kama zipo blocked hivi kuzi access nje ya app, still nazifanyia kazi. ila nafkiri adress za azam zipo hazikufa toka zamani.

pia kama kuna service ya bure ya kuangalia tv za kitanzania tofauti na azam na itv mniambie ili niangalie uwezekano.
 
Kwa wale mafundi wa madish tu,naomba namba yako ya simu hapa yenye akaunti ya whatsapp au PM nikuunge kwenye group kwa lengo la kubadilishana ujuzi tu
 
Habari chief
Ebana nimejaribu kuinstall hii add on ya vdtube25, ila kila nikifika katika install from zip file nikifungua haziji zile data zinazotakiwa kuja, yani inakuwa kana kwamba file haina kitu. Nn tatizo hapo mkuu.
 
sometime inakuwa addon labda ni ya zamani imeshakuwa outdated, au haifanyi kazi tena etc,

Addons za humu nyingi zimeshakuwa outdated, inabidi u google mpya.
 
Back
Top Bottom