Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
- Thread starter
- #561
Nimekupata mkuu na nimejaribu kweli sky sport kama zinakata hivi
yap pengine resolution kubwa au speed yako ndogo ngoja nitafute links za 360p
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimekupata mkuu na nimejaribu kweli sky sport kama zinakata hivi
yap pengine resolution kubwa au speed yako ndogo ngoja nitafute links za 360p
Poa poa mkuu... nakukubali saana!
nimetengeneza hii playlist ina
skysport 1 mpaka 5
beinsport 1 mpaka 12 (hd na sd)
hivyo jaribu hizo beinsport sd (quality ndogo/internet ndogo) uone kama zitacheza smooth.
jinsi ya kueka playlist kwanza extract hili zip file mahala utapopakumbuka mfanyo kwenye desktop halafu ingia kwenye kodi nenda video then file halafu add then nenda locate folder ulipoextract mfano kwenye desktop folder la tv then bonyeza ok. turn back utaona folder la tv limeongezeka ingia utaziona tv
Sasa kaka mkubwa mm natumia simu... nilijaribu kutumia pc nilivyojaribu kudownnload KODI ikagoma kuwa installed... ndio nikaamua kuswitch kwenye simu!
Kaka mkubwa tv nazipata ila sasa super sport na sky sport na local tv ntazipata wapi?
tumewadhibiti siyo kwamba na sisi hatupo Jamii Forums La hasha.
Tafuta addons inaitwa SPORTSDEVIL hii ni kiboko most of channel zinafunguka n hazi gandigandi
hata simu unafanya njia ni hizo hizo
Unaipataje hii mkuu??
Kaka mkubwa nikishafika kwenye file nikifungua file badala ya kuleta select folder inaleta hii kitu
mkuu nauliza kama unaweza kupata tv za tanzania kupitia hii app.
hii app ni kionyesheo tu haina tv zake, ila unaweza kujaza tv kadri ya uwezo wako. hivyo kama kuna sehemu umeona tv za kitanzania online tuambie tutazichukua na kuziweka humu
hii app ni kionyesheo tu haina tv zake, ila unaweza kujaza tv kadri ya uwezo wako. hivyo kama kuna sehemu umeona tv za kitanzania online tuambie tutazichukua na kuziweka humu
sijui kama hapa zitakuwa ndo zenyewe ila naona kuna clouds tv and tmtv Tanzania TV Stations - Watch Online
Tafuta addons inaitwa SPORTSDEVIL hii ni kiboko most of channel zinafunguka n hazi gandigandi