Kila unalotakiwa kujua kuhusu IPTV (kuangalia TV kwa kutumia internet)

Kila unalotakiwa kujua kuhusu IPTV (kuangalia TV kwa kutumia internet)

Haha sijui nikutukane kwa lugha gani.. Ur bad brother haha.. Duuh finally i got this b*tch.. Daaah thanks mkuuu.... Watu8 asante sanaaaaa kaka

Ooh!! naona umefanikiwa...

nilikuwa anaelekeza njia mbadala pia hapo juu, bila shaka wataokutana na kikwazo wataifuatilia hii njia mpya...

More Tanzania channels haha Watu8

Mkuu ni Startv na Azam 2 tu ndio ambazo inawezekana kuzidukua na kuziweka kwa KODI...

Utaratibu wa kuziweka ni ule ule, kama umeweza Azam2 basi hata StarTV ni vile vile...

Link ya StarTV ni rtmp://uni2rtmp.tulix.tv:1935/startv/myStream.sdp
 
Wadau nataka kuingiza azam2 kwenye kodi ktk hii tecno h6 lakini ili niipate playlist loader inabidi nifuate njia zipi maana Mimi nimefuata njia hii lakini zile plugin sijaziona-system-add-ons,install from zip nikifika hapo nimekwama
 
kaka nyuzi kama hizi ndio zinatakiwa, nimefuata maelekezo yote na nimefanikiwa, ishu imebaki kwenye internet magumashi, ila nimefanikiwa kuona baadhi ya chanel, lete kigongo kingine cha technology eroo
 
kaka nyuzi kama hizi ndio zinatakiwa, nimefuata maelekezo yote na nimefanikiwa, ishu imebaki kwenye internet magumashi, ila nimefanikiwa kuona baadhi ya chanel, lete kigongo kingine cha technology eroo
 
Njunwa Wamavoko nimeona hao jamaa wa offside fee yao ni pound 11 ila hawajaspecify kama ni one time fee, kwa mwezi au kwa mwaka.

phoenix pia ninayo interface yake ya ukweli sana ila hawana tv nyingi kama vidtube,

then mimi naprefer windows over android kwenye kodi sababu ya games na emulators na nguvu ya kudownload
hqdefault.jpg
Mkuu mbona hujibu DM ?
 
Last edited by a moderator:
Dah hii halotel+kodi ni shida,wacha nizisubiri hizi game za jioni shukrani za dhati ziwafikie wale wote waliotuamsha usingizini😛oa
 
ahsante sana mkuu Chief-Mkwawa , Watu8 na wengine mlionifanya sasa niione Toshiba yangu ya maana sana
attachment.php
 

Attachments

  • Screenshot (2).png
    Screenshot (2).png
    229.7 KB · Views: 446
Last edited by a moderator:
Chief-Mkwawa natumia Symbian Nokia 5230 yenye Software Version V51.0.002 nifanyeje ili niweze kupata IPTV
 
Last edited by a moderator:
Naona watu wengi wanapata shida kwa ile njia ya mwanzo ambayo nilipata kuelekeza hapo awali:

Sasa ngoja nielekeze njia mpya ambayo ni mbadala ambayo bila shaka itakuwa rahisi kwa kila mmoja:

1. Download addon inayoitwa "Playlist Loader" na kisha install katika KODI...(Bila shaka kila mtu anajua namna ya kuistall addon)

2. Baada ya kuinstall, fungua notepad au notepad++ au text editor yoyote katika ndani yake weka kitu hiki:

#EXTINF:0 ,Azam 2


http://196.41.40.253:1935/live/myStream/playlist.m3u8

3. Save hilo file kwa kulipatia jina lolote mfano Azam2 na hakikisha liwe na extension ya dot mu3 (.mu3) badala ya dot txt (.txt), kama unatumia simu basi lihamishie kwa simu file hilo.

4. Kama ukishindwa kutengeneza hilo file basi tembelea link hii hapa chini nimetengeneza hilo file kwa faida ya wote.
https://drive.google.com/file/d/0B16EjXCF75lRbVVraDU3MzZYQVU/view?usp=sharing

5. Fungua Playlist Loader na fuatisha maelekezo haya. Add a new list

8-add-list1.png


6. Andika jina lolote ila napendekeza uandike Azam 2 ili iwe rahisi kukumbuka baadaye

9-list-name.png


7. Baada ya hapo chagua New local list na uweke sasa ile pathname ya lile file ulilopakua toka kwangu hapo juu nambari 4.

10-REMOTE-OR-LOCAL.png


8. Baada ya hapo Azam 2 itakuwa added, unaweza ifungua kuitazama.


Watu8 Aksante sana!!!! Startv sitaki sababu za kisiasa!!!!
 
Chief-Mkwawa natumia Symbian Nokia 5230 yenye Software Version V51.0.002 nifanyeje ili niweze kupata IPTV

native inakubali rtsp eka line ya voda then jaribu Ile dstv ya siku 1 bure voda then utaona mfumo wa link ulivyo. ukitafuta tv Angalia zenye mfumo huo.

pia ukidownload player kama core player na zenginezo utapata uwezo wa kucheza format nyingi zaidi
 
Last edited by a moderator:
native inakubali rtsp eka line ya voda then jaribu Ile dstv ya siku 1 bure voda then utaona mfumo wa link ulivyo. ukitafuta tv Angalia zenye mfumo huo.

pia ukidownload player kama core player na zenginezo utapata uwezo wa kucheza format nyingi zaidi

mkuu, Dstv Mobile siipati siku hizi naona simu tv tu
 
Back
Top Bottom