Kila unalotakiwa kujua kuhusu IPTV (kuangalia TV kwa kutumia internet)

Kila unalotakiwa kujua kuhusu IPTV (kuangalia TV kwa kutumia internet)

Jamani mi nataka supersports ntaipataje?...maana nimehangaika weeeee sijafanikiwa...izo zingine nimeweza ila bado supersports.
 
utaipata zem tv....google namna ya kuweka addon yake kwny kodi

Iyo zemtv nnayo nshainstall na supersports inatokea pale ss1 adi ss7...tatizo kila nikigungua inagoma...inasema one or more nini cjui..yani haijawahi kufunguka
 
Iyo zemtv nnayo nshainstall na supersports inatokea pale ss1 adi ss7...tatizo kila nikigungua inagoma...inasema one or more nini cjui..z G unvnnnvvvvvvnnvvv?vvvvvvvvvvnvvvvnn?nchaijawahi kufunguka

mayb network yako au servers zao labda zna matatizo kwa sahiv mi mara nyingi huwa naitumia hiyo
 
Kaka samahani zem tv inapatikana vipi kwa kutjmia dish. Au njia gani nakama ni dish la aina gani
 
Kaka samahani zem tv inapatikana vipi kwa kutjmia dish. Au njia gani nakama ni dish la aina gani

Huku watu wanatumia internet na laptop/simu/desktop/ kuangalizia tv. Hawatumii madishi
 
Sawa kaka mkwawa je inatakiwa nifanye mfumo upi kupitia hiyo internet ilinifurahie
 
Sawa kaka mkwawa je inatakiwa nifanye mfumo upi kupitia hiyo internet ilinifurahie
Anzia mwanzo wa uzi huu usome wote..utaelewa nini unatakiwa kufanya....kuliko kuanza kuuliza kitu ambacho kilishatolewa maelezo
 
Paki India TV

bd18b0623601477f0bc5ec6392691a62.jpg
mkuu mm nimedownload kodi nimeweza kutizama aljazra lakn plugn ntaipztaje?na vp kuhusu chanel za hapa bongo
 
Tatizo langu ni moja nimedownload kodi lakin ukiifungua haifiki mwisho kufunguka. Ikifika katikati inastack haiendelei ten a. TV napata za baadhi ya channel za kupitia IPTV lakini naona siienjoy sana koz hakuna channel za maana
 
@Mkwawa niliinstal kodi then nijainstall kodi configurator. From there channel ni elfu kidogo. Am i wrong?
 
Wadau naomba maelekezo ya jinsi ya kuziweka hizi add ons,sportsdevil,money sports katika mpangilio mzuri mfano wake ni kama unavyoifungua phoenix ilivyokaa
 
Wadau naomba maelekezo ya jinsi ya kuziweka hizi add ons,sportsdevil,money sports katika mpangilio mzuri mfano wake ni kama unavyoifungua phoenix ilivyokaa

aliyetengeneza add ons ndio anaweza fanya hivyo wewe huwezi
 
Wataalamu nimeifanyia simu yangu hard reseat sasa nimeinstall upya kodi addons nilizoingiza mwanzo zimekubali kasoro money sports (http://4legends.co.UK/legends)hii inanikatalia kama kuna njia nyingine ya kuipata money sports naiomba.
 
Hii kitu iko poa sana

Zaidi napendelea Kuichomeka Laptop yangu kwa HDMI kwenye TV then nakula vitu
kODI ina majina Mengine kama XBMC na kuna latest Build inaitwa TVMC hii imekuja pre configured kila kitu wewe ni kuinstalll then next next done
Kama upo serious sana "Kodi" inapatikana katika Devices ambazo zimekua designed na kutumika na TV kama :-

1)Raspberry Pi
2)Android TV boxes
3)Amazon firesticks
4)Enigma II receivers
5)E.T.C

Hivo kama hautaki kutumia Laptop au Desktop yako au hautaki kutumia Simu au Tablet waweza consider hizo first 3 devices ni around 40$ kupanda juu lakini zinatumia WiFi so itabidi uwe na Router pia au simu ambayo utai sacrififce kurusha WiFi

Personally,Hii kitu na enjoy sana and my best addons ni

1)Paki Indi TV
2)Phoenix TV
3)Offsidestreams

Thanks to mleta mada sikujua kama huyu jamaa vdtube25 nae anayo addon yenye premium contents nzuri

Kuhusu swala la Internet ni challenge sana lakini mm nilichogundua ni kwamba kama unajua Internet yako ina Ping Speed ndogo fulani walau hakikisha basi inaweza ku peak mpaka 4Mbps bila wasi wasi
Mm natumia hii kitu na Tigo Ping speed yangu sio nzuri kivile ila walau my maximum Ping speed kwa speedtest.net napata average 170ms ila zile Download speeds zinapanda mpaka Downlink 7Mbps kwa 2Mbps Uplink.
Naweza angalia Channel kwa almost 1hr with simply initial buffers na baada ya hapo mambo yanakaa smooth

Najua hii part wabongo wengi bado maana kuna watu walikaririshwa eti TZ mitandao yake fake wakati kuna mitandao una stream 1080p video mwanzo mwisho bila buffer na ni 3G na kwa Live event

oDHsWy.jpg



Kama pia Upo serious unataka kushusha madishi yote juu ya paa la nyumba yako kama mm :teeth:
Waweza consider kutumia jamaa wanaitwa offsidestreams.com jamaa hata uwe na Ping 200ms na Dwnlink internet ya 1Mbps waweza angalia mpaka beinsports HD Bila shida yoyote....
Tatizo wana charge pesa ila kama nilivosema kama upo serious sana na hii kitu waweza kuwajaribu

N:B: Hawa jamaa ukitumia Fake credit Card unapata free access ya 3-4days,Credit cards fake ziko Online nyingi waweza google Fake VBV/Credit cards
Mm hii huwa naipendelea kukiwa na match kali sana afu internet yangu magumashi
waweza angalia Video yangu moja youtube ya 8minutes kuanzia dakika ya 2 nilikua na stream at less than <1Mbps bila shida na ping yake sio kivile

Ukiitazama katika Thumbnails form kitu inavutia kweli mm nshasahau sana kuangalia TV kwa dishi antenna

8oMZ0N.png

MKUU MBNA MI HIZO SKY SPORT SIZIONI. AU KUNA KITU NIMEKOSEA
 
Back
Top Bottom