Kila unalotakiwa kujua kuhusu IPTV (kuangalia TV kwa kutumia internet)

Kila unalotakiwa kujua kuhusu IPTV (kuangalia TV kwa kutumia internet)

Chief-Mkwawa hatimaye mzigo dogo kafanikiwa.s4 iligoma kwa vile ipo android verson 5 but kwenye note 3 imekubali
2e3fbbbb1da0a9faacf00a4ea7ff1b22.jpg
 
umefanyaje mkuu hapo msaada wako tafadhali
Hii ni hml to hdmi mkuu hapo kama una note 3 s4 au s3 inakubalii hii kitu ipo very digital. unacheza gemu kwenye big screen,movie yaan kila kitu utachogusa kwa simu yako kinaonekana kwa tv yako
 
mimi pia nimeinunua ila hapa sina simu inayokubali, soon nitaleta feedback
Pamoja mkuu nimeangalia baadhi ya maelezo kwa s4 ikiwa android kitkat na kuendelea haikubali.leo ntaiidowngrade simu hadi jellybn nione pia ntaleta mrejesho
 
Haloo ndugu yangu Chief-Mkwawa nimejaribu kufwata maelekezo yoote jinsi ya kua Add-ons ila nikifa hapa nikibonyeza Repo niliyoiweka inaleta hako kameseji (picha)
ImageUploadedByJamiiForums1458219742.201600.jpg
lakini internet yangu ipo imara tofauti na inavyodai, nashindwa tatizo nini nimehangaika nayo karibia week nzima sasa' nafata maelekezo yote vizuri ila nikifika hapo inasema hivyo Network is not connected! Embu nisaidie kama kuna njia nyingine brother. Ahsante.
 
Wekeni namba zenu za simu, ili tuweze kuwatafuta kwa maelezo zaidi,Mimi bado natumia Exmaster( avatar,spycom) wanazingua, mara wapo leo,siku tatu hawapo hewani? Wanaboa,Mimi nataka niweze kuangalia mpira kupitia laptops
 
Back
Top Bottom