Kila unalotakiwa kujua kuhusu IPTV (kuangalia TV kwa kutumia internet)

Kila unalotakiwa kujua kuhusu IPTV (kuangalia TV kwa kutumia internet)

Habari zenu wanaJf.. Katika pita pita zangu mitandaoni nimekutana na hii tv, smart tv ya android inch 55 muuzaji anasema bei yake ni laki 2.. Kwa mtu mwenye uzoefu nazo hivi ndo bei yake au ndo changa la macho...
 
Attachments

  • 1461166359675.jpg
    1461166359675.jpg
    45.1 KB · Views: 61
Habari zenu wanaJf.. Katika pita pita zangu mitandaoni nimekutana na hii tv, smart tv ya android inch 55 muuzaji anasema bei yake ni laki 2.. Kwa mtu mwenye uzoefu nazo hivi ndo bei yake au ndo changa la macho...
hapo kuna mambo mawili
1. kasahau kuongeza sifuri 1 mbele hio ni 2,000,000
2. ni tapeli

haiwezekani kabisa tv ya namna hio iuzwe laki 2
 
Msaada mwenye addons za chaneli za nyumbani, ITV,TBC, CHANEL 10 anisaidie nilizonazo inaonekana Star tv na Azam 2 pekee
 
Chief habari za siku naomba unisaidie kujua ni application au software gani naweza tumia kupata dstv kupitia android au pc msaada chief
 
Watalaam wa hii kodi Mimi ninatumia Tecno h6 lakini ninapoangalia mechi yoyote kupitia iwe sports devil au Phoenix au nyingine yoyote ktk hii kodi inaonyesha dk15 halafu inakata ghafla tatizo nini wadau!
 
Tatizo simu yako badilisha simu uenjoy mkuu
 
Samahani wakuu wa jf naomba msaada wenu. Nataka kubadilisha zip file inayotumika ktk kodi ili iwe m3u nitumie ktk iptv player. Naomba muongozo wenu nifanyeje?
 
Back
Top Bottom