Ilankunda1234
JF-Expert Member
- Dec 28, 2015
- 4,841
- 4,797
Hiyo iptv nayo inanidai wifi[emoji134] [emoji134] [emoji134]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ingia ktk settings weka off kwa kutoa tikiHiyo iptv nayo inanidai wifi[emoji134] [emoji134] [emoji134]
Hiyo iptv nayo inanidai wifi[emoji134] [emoji134] [emoji134]
Upooooo kakaNimekusoma mkali
http://154.73.170.210:1935/live/azamsports/playlist.m3u8 link ya azamsports hd. Lakini tangu jana jioni azam two na azamsports hazipo hewani.wakuu! Nahitaji link ya Kuangalia AZAM TV HD channel..
Niliwahi kuiona humu JF ila nilikosea jinsi ya kuihifadhi.....
Azam wamerudi kama kawaida mkuuhttp://154.73.170.210:1935/live/azamsports/playlist.m3u8 link ya azamsports hd. Lakini tangu jana jioni azam two na azamsports hazipo hewani.
download yoyote tu, angalia ambayo ina ratings kubwa ndio itakuwa nzuri zaidi. pia pitia hii thread naona kuna watu wanaisifia hii appWakuu naomba kujuzwa ni IPTV ipi nzuri maana playstore zipo nyingi na unaseti vipi ili kuitumia maana app ya kodi nnayo lkn chanel pendwa za mpira zizipati kama skysport, bein na nyinginezo
haya kaka jaribu hiyo.Samahani! wakuu msaada plz
Camtasia Studio 8.6.0.2079 serial key
nitashukuru sana
jaribuni phonenix tv ni rahisi kuieka
How to Install Phoenix Kodi[/QUOTE POA chief naomba msaada wako pc yangu nikiiwasha inaandika No bootable devices,strike f1 to retry boot au strike f2 for set up utility au press f5 to run onboard disgnostic nn tatizo CHIEF-MKWAWA? natangukiza shukran