iyengamuliro
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 819
- 366
Msaada ndugu sijakuelewa unafungua hivyo VLC kwa browser au hayo maandishi ya kiarabu?.Wakuu Salama ?
leo nimekuja special kwa wale wapenda soka ninawaletea njia smart sana kwa kuangalia kila aina ya soka katika laptop au simu......
kwanza kabisa install VLC player ktk laptop au simu.
kisha fungua kwa njia ya web browser hii website:
قنوات البث المباشر
click ktk neno limeandiwa :
مشاهدة البث
hapo utaona channel inafanya kazi.
uzuri wa njia hii hakuna mambo ya freezing na kuna channel 10.
Amani ya mola iwe nanyi.