Kila unalotakiwa kujua kuhusu IPTV (kuangalia TV kwa kutumia internet)

Kila unalotakiwa kujua kuhusu IPTV (kuangalia TV kwa kutumia internet)

Wanajamii kwa wale wataalamu wa kodi ninaomba maelekezo step by step jinsi ya kuiseti hii castaway add-on maana ninaona inashida kufunguka inawezekana kuna namna ya kuiset
 
Siku hizi watalaamu wa hii kodi wamehama wako mobdro naona sipati majibu
 
Huko kote nimefika Ila kuna sehemu za kujaza mfano hapo kwenye tools nahiyo subreddits
 
*PakSat 1R @38.East*

4004 V 15555 MPEG2/BISS

SID.0004 Key. F7E9 A7AB 1957 CDAB

Or Key. F7E9 A700 1957 CD00
 
Iv jamn unawezaje kuhamixha mobdro kutoka kwenye cm ad tv
 
Wadau wa kodi naomba kufahamu addons za kuangalia mechi za mpira zinazofanyakazi kwa sasa
 
Wadau wa kodi naomba kufahamu addons za kuangalia mechi za mpira zinazofanyakazi kwa sasa

Jaribu Zem mimi ndiyo ninayo tumia kwenye KODI box. Kuhusu kutoweza ku istall Kodi version 17 ni kwa sababu simu yako lazima iwe na at least 5.1 lollipop ili waweze ku update kwa sasa. KitKat hawatopata update
 
And this marks the End of Kodi

Screenshot_8.png
 
Habari wakuu samahani nimeletewa zawadi apple tv 3rd generarion nimefungua na kuweka i tune account ila kinasumbua kinataka niwe na tv provider niweze kuangalia hapo ndo nimeshindwa msaada kwa anayejua nifanyaje hapo maana wanataka details za us
 
wanasiasa bwana, hakuna kitu cha kodi ambacho huwezi kifanya kwengine, chanell hizo hizo za piracy unaziplay na vlc, ace player, mx player etc wanataka tu kupata ujiko basi

nafikiri Popularity ya Kodi ndo imeiponza!

Ila pia hizo apps kama VLC au MX Player nyingine ni vigumu kuzi seize sababu haziko kwenye Public domain na nafikiri ukiona kitu kimekua seized maana yake kiko chini ya uwezo bila shaka domain registrar na hoster anaweza kuwa based in US
 
Habari wakuu samahani nimeletewa zawadi apple tv 3rd generarion nimefungua na kuweka i tune account ila kinasumbua kinataka niwe na tv provider niweze kuangalia hapo ndo nimeshindwa msaada kwa anayejua nifanyaje hapo maana wanataka details za us

yah kwa feature za us huwezi tumia,

hakuna option au player yoyote inayoruhusu kuplay chanell zako mwenyewe?
 
Ina tundu la HDMI?
 
yah kwa feature za us huwezi tumia,

hakuna option au player yoyote inayoruhusu kuplay chanell zako mwenyewe?
Hamna mkuu wameweka stations zao tu na uwez kudownload apps yeyote ipo strictly sana you tube ndo naangalia bila account
 
Back
Top Bottom