Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
uhuru kkoo zipo, ukisearch kupatana zipo, sema nyingi ni za kichina quality yake pia sio nzuri sana.Wadau kwa anaye jua napoweza pata tv box
hii script inafanya kila kitu chanell zote utapatanisaidieni add on nayoweza kupata channel ka mtv trace na channel nyingine za mizk plus movies.
Nenda settn... Apps.... Clear kila kitu pale.... Fungua tema enjoywataalamu hii kodi 17.1 krypton kila Mara inaniletea Ujumbe huu(kodi,unfortunately has stopped) nitaliondoa vipi hili tatizo la kuja Ujumbe huu Mara kwa Mara natumia Tecno w4 ambayo ni 6.0 marshmallow,msaada.
Mkuu kipi bora kati ya tv na monitor?Natoka nnje ya mada kidogo ila i do hope swali langu unaweza kulimudu kunijibu, Nina decoder ya digitek yenye cable ya HDMI, Jekuna namna yakuunganisha monitor za kawaida ya pc na kucheck tv steshen za kawaida?
Thanks mkuu kesho nitaenda kuichek kkooTafuta hii cable "HDMI Male to VGA"
View attachment 491985
bora tv maana ina option nyingi kuliko monitor ila monitor mintaitumia kwa kukwepa cost ambazo zitakuwa nnje ya budget yangu kwa sasa.Mkuu kipi bora kati ya tv na monitor?
Well una pc lkn tv huna sio? Na hutaki kununua...bora tv maana ina option nyingi kuliko monitor ila monitor mintaitumia kwa kukwepa cost ambazo zitakuwa nnje ya budget yangu kwa sasa.
Naomba niulize kuhusiana na connection. Ni ip kat ya tv box na Pc tunaweza pata good and high resolution??? Na kwa pc vp hdmi na vga au dvi ip nzur itumike?
nina decoder na monitor katika katika mchakato wa kuchek tv channel sina mpango wa kununua tv kwa sasa.Well una pc lkn tv huna sio? Na hutaki kununua...
Kwani Tv box ni bei gan??? Na vp GPU za kampuni gan ungenishauli nitumie katika pc??? Na je GPU za kisasa ina maana zitakuw na connector ya HDMI???1.itategemea kwanza na display yako, iwe tv au monitor. kama diaplay ni HD ya kawaida ambayo hata wide color gamut haina huna haja ya kujihangaisha kutafuta box au pc inayotoa resolution kubwa na ubora mkubwa sababu display yako haina uwezo wa kuvionesha hivyo vitu.
2. kuhusu tv box na pc hapa inategemea na gpu/media encoder/decoder iliotumika mkuu, kama box lina gpu nzuri basi box litaonesha resolution kubwa na vice versa.
ila mimi hupendelea zaidi pc sababu inanipa option nyingi ila kama huna matumizi ya pc tv box ni zuri zaidi sababu ya bei.
pia resolution sio kitu pekee cha kuangalia, siku hizi kuna codecs mpya za x265 na vp9 ukiwa nazo utatumia mb chache kuangalia vitu vyenye quality kubwa, hivyo hakikisha hilo box linakubali x265.
3. kuhusu cable nzuri na za kisasa kwa sasa ni HDMI na Display port, hii display port ni zaidi kwenye pc na wataalamu, HDMI ndio sana inatumika majumbani.
ila HDMI nayo ina version nyingi ipo ya kwanza, 1.4, 2.0, 2.1 etc hivyo hakikisha atleast una HDMI ya kisasa, hio 2.1 ndio latest hata ukikosa hio angalau 1.4 uwe nayo.
jinsi version inavyokuwa kubwa ndio jinsi inavyokuwa na bandwidth kubwa na kupitisha resolution kubwa.
kuijua cheki specs za kifaa husika
Kwani Tv box ni bei gan??? Na vp GPU za kampuni gan ungenishauli nitumie katika pc??? Na je GPU za kisasa ina maana zitakuw na connector ya HDMI???
Sawa mkuu nimekuelewamkuu box ni kama dola 30 online za arm (android) na box zinazoweza kuingia os za computer (x86) ni kama dola 60, bei inaongezeka kutokana na specs zinavyoongezeka. kibongo bongo nyingi ni around 150,000 na box za x86 ni ngumu kuzipata huku kwetu.
gpu almost zote za sasa hivi zina hdmi, na za zamani nyingi tu zilikuwa na hdmi. gpu nzuri ni 1000 series za nvidia na 400 series za amd.
kwa nvidia kuna 1050, 1050ti, 1060, 1070, 1080 etc
kwa amd kuna rx460, rx470, rx480
hizo rx460 na 1050 ndio za bei rahisi around dola 100 ila pengine zikatoka za bei ya chini zaidi kwa baadae kama 1040 na rx450.
siku hizi processor za kisasa gpu zake za ndani zina nguvu sana ndio maana unaona hata watengeneza gpu hawajali gpu zenye nguvu ndogo zinazouzwa bei rahisi
shukran mkuuhii script inafanya kila kitu chanell zote utapata
Automatically Configure the Best Kodi Addons (16.1 Jarvis or Below)
Monitor zenye Wide colour Gamut ni kama za aina gan??? Na vp kuhusiana na price yake?1.itategemea kwanza na display yako, iwe tv au monitor. kama diaplay ni HD ya kawaida ambayo hata wide color gamut haina huna haja ya kujihangaisha kutafuta box au pc inayotoa resolution kubwa na ubora mkubwa sababu display yako haina uwezo wa kuvionesha hivyo vitu.