Kila unalotakiwa kujua kuhusu IPTV (kuangalia TV kwa kutumia internet)

Wadau kwa anaye jua napoweza pata tv box
uhuru kkoo zipo, ukisearch kupatana zipo, sema nyingi ni za kichina quality yake pia sio nzuri sana.

kama upo serious sana agizia nje xiaomi tv box around dola 70 unapata best tv box on the market, mpaka 4k x265 inacheza kwa bit zote
 
Naomba niulize kuhusiana na connection. Ni ip kat ya tv box na Pc tunaweza pata good and high resolution??? Na kwa pc vp hdmi na vga au dvi ip nzur itumike?
 
wataalamu hii kodi 17.1 krypton kila Mara inaniletea Ujumbe huu(kodi,unfortunately has stopped) nitaliondoa vipi hili tatizo la kuja Ujumbe huu Mara kwa Mara natumia Tecno w4 ambayo ni 6.0 marshmallow,msaada.
 
Nenda settn... Apps.... Clear kila kitu pale.... Fungua tema enjoy
 
Natoka nnje ya mada kidogo ila i do hope swali langu unaweza kulimudu kunijibu, Nina decoder ya digitek yenye cable ya HDMI, Jekuna namna yakuunganisha monitor za kawaida ya pc na kucheck tv steshen za kawaida?
Mkuu kipi bora kati ya tv na monitor?
 
Huwa nina unstall nakuinstall upya lakini tatizo linakuwa palepale
 
bora tv maana ina option nyingi kuliko monitor ila monitor mintaitumia kwa kukwepa cost ambazo zitakuwa nnje ya budget yangu kwa sasa.
Well una pc lkn tv huna sio? Na hutaki kununua...
 
Naomba niulize kuhusiana na connection. Ni ip kat ya tv box na Pc tunaweza pata good and high resolution??? Na kwa pc vp hdmi na vga au dvi ip nzur itumike?

1.itategemea kwanza na display yako, iwe tv au monitor. kama diaplay ni HD ya kawaida ambayo hata wide color gamut haina huna haja ya kujihangaisha kutafuta box au pc inayotoa resolution kubwa na ubora mkubwa sababu display yako haina uwezo wa kuvionesha hivyo vitu.

2. kuhusu tv box na pc hapa inategemea na gpu/media encoder/decoder iliotumika mkuu, kama box lina gpu nzuri basi box litaonesha resolution kubwa na vice versa.

ila mimi hupendelea zaidi pc sababu inanipa option nyingi ila kama huna matumizi ya pc tv box ni zuri zaidi sababu ya bei.

pia resolution sio kitu pekee cha kuangalia, siku hizi kuna codecs mpya za x265 na vp9 ukiwa nazo utatumia mb chache kuangalia vitu vyenye quality kubwa, hivyo hakikisha hilo box linakubali x265.

3. kuhusu cable nzuri na za kisasa kwa sasa ni HDMI na Display port, hii display port ni zaidi kwenye pc na wataalamu, HDMI ndio sana inatumika majumbani.

ila HDMI nayo ina version nyingi ipo ya kwanza, 1.4, 2.0, 2.1 etc hivyo hakikisha atleast una HDMI ya kisasa, hio 2.1 ndio latest hata ukikosa hio angalau 1.4 uwe nayo.

jinsi version inavyokuwa kubwa ndio jinsi inavyokuwa na bandwidth kubwa na kupitisha resolution kubwa.

kuijua cheki specs za kifaa husika
 
Kwani Tv box ni bei gan??? Na vp GPU za kampuni gan ungenishauli nitumie katika pc??? Na je GPU za kisasa ina maana zitakuw na connector ya HDMI???
 
mkuu box ni kama dola 30 online za arm (android) na box zinazoweza kuingia os za computer (x86) ni kama dola 60, bei inaongezeka kutokana na specs zinavyoongezeka. kibongo bongo nyingi ni around 150,000 na box za x86 ni ngumu kuzipata huku kwetu.

gpu almost zote za sasa hivi zina hdmi, na za zamani nyingi tu zilikuwa na hdmi. gpu nzuri ni 1000 series za nvidia na 400 series za amd.

kwa nvidia kuna 1050, 1050ti, 1060, 1070, 1080 etc

kwa amd kuna rx460, rx470, rx480

hizo rx460 na 1050 ndio za bei rahisi around dola 100 ila pengine zikatoka za bei ya chini zaidi kwa baadae kama 1040 na rx450.

siku hizi processor za kisasa gpu zake za ndani zina nguvu sana ndio maana unaona hata watengeneza gpu hawajali gpu zenye nguvu ndogo zinazouzwa bei rahisi
 
Sawa mkuu nimekuelewa
 
1.itategemea kwanza na display yako, iwe tv au monitor. kama diaplay ni HD ya kawaida ambayo hata wide color gamut haina huna haja ya kujihangaisha kutafuta box au pc inayotoa resolution kubwa na ubora mkubwa sababu display yako haina uwezo wa kuvionesha hivyo vitu.

2. kuhusu tv box na pc hapa inategemea na gpu/media encoder/decoder iliotumika mkuu, kama box lina gpu nzuri basi box litaonesha resolution kubwa na vice versa.

ila mimi hupendelea zaidi pc sababu inanipa option nyingi ila kama huna matumizi ya pc tv box ni zuri zaidi sababu ya bei.

pia resolution sio kitu pekee cha kuangalia, siku hizi kuna codecs mpya za x265 na vp9 ukiwa nazo utatumia mb chache kuangalia vitu vyenye quality kubwa, hivyo hakikisha hilo box linakubali x265.

3. kuhusu cable nzuri na za kisasa kwa sasa ni HDMI na Display port, hii display port ni zaidi kwenye pc na wataalamu, HDMI ndio sana inatumika majumbani.

ila HDMI nayo ina version nyingi ipo ya kwanza, 1.4, 2.0, 2.1 etc hivyo hakikisha atleast una HDMI ya kisasa, hio 2.1 ndio latest hata ukikosa hio angalau 1.4 uwe nayo.

jinsi version inavyokuwa kubwa ndio jinsi inavyokuwa na bandwidth kubwa na kupitisha resolution kubwa.

kuijua cheki specs za kifaa husika
Monitor zenye Wide colour Gamut ni kama za aina gan??? Na vp kuhusiana na price yake?
 
Back
Top Bottom