Kila unalotakiwa kujua kuhusu IPTV (kuangalia TV kwa kutumia internet)

Daaah jf ni bonge la darasa...
Ila bado mmeniacha sielewi niulize nini, mnamaanisha kuangalia TV channel kupitia intenet ambayo umeicconect na sim au hadi upate television inayotumia internet????
Najua ntawakwaza wengine kwa hilo swali ila samahani

zipo njia nyingi mkuu
-unaweza tumia tv yenye internet kuangalia
-unaweza ukatumia simu lakini kinachoonekana kwenye simu ukakiona kupitia tv yako
-unaweza ukanunua kifaa na kuifanya tv yako iwe smart na uwezo wa kuconect na internet etc

hivyo inategemea mwenyewe upo vipi.
 
Ni kifaa gani naeza nikawa nacho kinisaidie kuona kile nachokiona kweny sim nikionee kweny tv
 
inategemea na aina ya simu na tv,

kuna standard mbali mbali za wifi, kama tv inakubali standard mojawapo na simu inakubali then unaweza ku connect bila kutumia kifaa chochote, mifano ya hizo standard za wifi ni kama miracast, airplay, dlna, direct wifi etc

kujua unaangalia menu za vifaa husika au unaweza taja model ya tv na simu tukazigoogle ili kuangalia.

ila mara nyingi simu zinakuwa na hizo standard na tv hazina, tv zenye miracast/widi/dlna ni chache sana, kama simu inayo na tv haina kuna kifaa unanunua kama flash unakichomeka nyuma ya tv vinauzwa kama 60,000 hapa bongo, online kama dola 10 tu.

njia nyengine ni kutumia waya wa MHL ambao upande ni usb na upande ni HDMI, unachomeka pale pa kuchajia na upande unachomeka hdmi ya tv, ila njia hii hadi simu iwe inakubali huo waya.
 
ongezea na hii nina sharp32LED tv na simu yangu ya samsungj7 nahitaji isome kwenye tv yangu nifanyeje?
j7 nafkiri inayo miracast na standard nyengine nenda setting kwenye wireless and network hakuna kitu kimeandikwa cast au screen mirroring au quick connect? kama hamna click more cheki na hapo.

hio sharp unaijua model yake?
 
inategemea na aina ya simu na tv,

kuna standard mbali mbali za wifi, kama tv inakubali standard mojawapo na simu inakubali then unaweza ku connect bila kutumia kifaa chochote, mifano ya hizo standard za wifi ni kama miracast, airplay, dlna, direct wifi etc

kujua unaangalia menu za vifaa husika au unaweza taja model ya tv na simu tukazigoogle ili kuangalia.

ila mara nyingi simu zinakuwa na hizo standard na tv hazina, tv zenye miracast/widi/dlna ni chache sana, kama simu inayo na tv haina kuna kifaa unanunua kama flash unakichomeka nyuma ya tv vinauzwa kama 60,000 hapa bongo, online kama dola 10 tu.

njia nyengine ni kutumia waya wa MHL ambao upande ni usb na upande ni HDMI, unachomeka pale pa kuchajia na upande unachomeka hdmi ya tv, ila njia hii hadi simu iwe inakubali huo waya.
Aina ya TV ni MY LEADDER na sim ni tecno Y2
 
j7 nafkiri inayo miracast na standard nyengine nenda setting kwenye wireless and network hakuna kitu kimeandikwa cast au screen mirroring au quick connect? kama hamna click more cheki na hapo.

hio sharp unaijua model yake?
LC-32LE460X
mkuu tv model
sio Android tv ndugu nahitaji tu isome storage ya simu kwa usb port tu kama kawaida
 
Aina ya TV ni MY LEADDER na sim ni tecno Y2
simu za Tecno mara nyingi hazina standard za wifi za kueleweka, ila zipo standard za kawaida kama dlna hizi huwa zinakubali simu zote za android zenye wifi,

ila dlna unaona unapoplay media tu, mfano unaplay video itaonekana kwenye tv ila kama unafungua whatsapp au unachat fb unakuwa huoni.
 
LC-32LE460X
mkuu tv model
sio Android tv ndugu nahitaji tu isome storage ya simu kwa usb port tu kama kawaida
ni ngumu mkuu kusoma simu na usb sababu tv haiwezi install driver,

kwanini usitafute flash na waya wa otg, hivyo unavyotaka kuangalia unavihamisha toka kwenye simu hadi flash then unachomeka kwenye tv
 
asante kwa usaidizi hapo kwenye waya wa otg nitautafuta flashdrive ninayo ila imeliwa haisomi simu hivyo nikawa najaribu usb wire bila mafanikio

Sent from my SM-J700F using JamiiForums mobile app
 
wadau hivi ligi ya uingereza itaendelea kuonekana kupitia IPTV chanels?
 
ni ngumu mkuu kusoma simu na usb sababu tv haiwezi install driver,

kwanini usitafute flash na waya wa otg, hivyo unavyotaka kuangalia unavihamisha toka kwenye simu hadi flash then unachomeka kwenye tv
Nahisi alikua anataka kuplay files kwenye tv na kama alivyosema waya unaitilafu, yani pale ukichomeka usb kwenye tv afu kwenye simu juu kwenye notification inakuuliza unataka utumie sim kwa namna gana, huwa kuna Option ya yule Android mdudu afu chini kuna storage afu ukiclic storage unayaona mafaili na ukubwa wa storage. Sijui nipo sawa?
 
kama kwenye tv wame preload drivers za kusoma storage za simu (mass storge) ndio itawezekana, ila kama hazipo haitawezekana hutaiona simu kupitia tv.
 
Wadau wa kodi xbmc,hii fusion,tvaddon,ag/ naona haifanyikazi kwa sasa,kwahiyo hii phoenix addon nitaipataje au kuna addon nyingine nzuri za kuangalia mechi za mpira,naomba mniwekee hapa.
 
Jamaa wa tv addons wameingia mitini kukwepa lawsuit. Ila zipo iptv apk nzuri tu mimi natumia.
Mfatilie huyu jamaa kwenye website yake ana vitu up to date. dimitrology.com au solo man huko youtube
 
Back
Top Bottom