Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daaah jf ni bonge la darasa...
Ila bado mmeniacha sielewi niulize nini, mnamaanisha kuangalia TV channel kupitia intenet ambayo umeicconect na sim au hadi upate television inayotumia internet????
Najua ntawakwaza wengine kwa hilo swali ila samahani
mfano wake ni kama huo, ila ile ni app ya android, hivyo utahitaji tv yako au simu au laptop iwe na uwezo wa kurun app ya androidYani kama vile ile application ya ITV iliopo playstore au
Ni kifaa gani naeza nikawa nacho kinisaidie kuona kile nachokiona kweny sim nikionee kweny tvzipo njia nyingi mkuu
-unaweza tumia tv yenye internet kuangalia
-unaweza ukatumia simu lakini kinachoonekana kwenye simu ukakiona kupitia tv yako
-unaweza ukanunua kifaa na kuifanya tv yako iwe smart na uwezo wa kuconect na internet etc
hivyo inategemea mwenyewe upo vipi.
ongezea na hii nina sharp32LED tv na simu yangu ya samsungj7 nahitaji isome kwenye tv yangu nifanyeje?Ni kifaa gani naeza nikawa nacho kinisaidie kuona kile nachokiona kweny sim nikionee kweny tv
inategemea na aina ya simu na tv,Ni kifaa gani naeza nikawa nacho kinisaidie kuona kile nachokiona kweny sim nikionee kweny tv
j7 nafkiri inayo miracast na standard nyengine nenda setting kwenye wireless and network hakuna kitu kimeandikwa cast au screen mirroring au quick connect? kama hamna click more cheki na hapo.ongezea na hii nina sharp32LED tv na simu yangu ya samsungj7 nahitaji isome kwenye tv yangu nifanyeje?
Aina ya TV ni MY LEADDER na sim ni tecno Y2inategemea na aina ya simu na tv,
kuna standard mbali mbali za wifi, kama tv inakubali standard mojawapo na simu inakubali then unaweza ku connect bila kutumia kifaa chochote, mifano ya hizo standard za wifi ni kama miracast, airplay, dlna, direct wifi etc
kujua unaangalia menu za vifaa husika au unaweza taja model ya tv na simu tukazigoogle ili kuangalia.
ila mara nyingi simu zinakuwa na hizo standard na tv hazina, tv zenye miracast/widi/dlna ni chache sana, kama simu inayo na tv haina kuna kifaa unanunua kama flash unakichomeka nyuma ya tv vinauzwa kama 60,000 hapa bongo, online kama dola 10 tu.
njia nyengine ni kutumia waya wa MHL ambao upande ni usb na upande ni HDMI, unachomeka pale pa kuchajia na upande unachomeka hdmi ya tv, ila njia hii hadi simu iwe inakubali huo waya.
LC-32LE460Xj7 nafkiri inayo miracast na standard nyengine nenda setting kwenye wireless and network hakuna kitu kimeandikwa cast au screen mirroring au quick connect? kama hamna click more cheki na hapo.
hio sharp unaijua model yake?
simu za Tecno mara nyingi hazina standard za wifi za kueleweka, ila zipo standard za kawaida kama dlna hizi huwa zinakubali simu zote za android zenye wifi,Aina ya TV ni MY LEADDER na sim ni tecno Y2
ni ngumu mkuu kusoma simu na usb sababu tv haiwezi install driver,LC-32LE460X
mkuu tv model
sio Android tv ndugu nahitaji tu isome storage ya simu kwa usb port tu kama kawaida
asante kwa usaidizi hapo kwenye waya wa otg nitautafuta flashdrive ninayo ila imeliwa haisomi simu hivyo nikawa najaribu usb wire bila mafanikioni ngumu mkuu kusoma simu na usb sababu tv haiwezi install driver,
kwanini usitafute flash na waya wa otg, hivyo unavyotaka kuangalia unavihamisha toka kwenye simu hadi flash then unachomeka kwenye tv
Mkuu hii link bado inaoneka?Hi wataalam wote wa jf nadhani mpo salama kabisa kwa leo nimepata kitu fulani ambacho nakabidhi kwenu nyote nacho ni hiki http://154.73.170.210:1935/live/azamsports/chunklist.m3u8. Hiyo ni Azamsports HD
ndio itaendelea kupatikana mkuuwadau hivi ligi ya uingereza itaendelea kuonekana kupitia IPTV chanels?
Ahsante Mkuu sana mkuu, ngoja nijaribu kuweka Mobdro kwenye Pc ili nisikose ligi ijayondio itaendelea kupatikana mkuu
Nahisi alikua anataka kuplay files kwenye tv na kama alivyosema waya unaitilafu, yani pale ukichomeka usb kwenye tv afu kwenye simu juu kwenye notification inakuuliza unataka utumie sim kwa namna gana, huwa kuna Option ya yule Android mdudu afu chini kuna storage afu ukiclic storage unayaona mafaili na ukubwa wa storage. Sijui nipo sawa?ni ngumu mkuu kusoma simu na usb sababu tv haiwezi install driver,
kwanini usitafute flash na waya wa otg, hivyo unavyotaka kuangalia unavihamisha toka kwenye simu hadi flash then unachomeka kwenye tv
kama kwenye tv wame preload drivers za kusoma storage za simu (mass storge) ndio itawezekana, ila kama hazipo haitawezekana hutaiona simu kupitia tv.Nahisi alikua anataka kuplay files kwenye tv na kama alivyosema waya unaitilafu, yani pale ukichomeka usb kwenye tv afu kwenye simu juu kwenye notification inakuuliza unataka utumie sim kwa namna gana, huwa kuna Option ya yule Android mdudu afu chini kuna storage afu ukiclic storage unayaona mafaili na ukubwa wa storage. Sijui nipo sawa?
Wadau wa kodi xbmc,hii fusion,tvaddon,ag/ naona haifanyikazi kwa sasa,kwahiyo hii phoenix addon nitaipataje au kuna addon nyingine nzuri za kuangalia mechi za mpira,naomba mniwekee hapa.