Kila unalotakiwa kujua kuhusu IPTV (kuangalia TV kwa kutumia internet)

Binafsi nahusika na uuzaji wa Online TV (IPTV)
Katika SmartTv pia na Smartphone

Kifurushi cha mwezi ni Tsh.9,000/=
Hapo kuna
Live tv 23,000+
Movies 10,000+
Series 10,000+

Chaneli nyingi za ulaya,America,Africa n.k
Chaneli za DSTV 180+
Canal Afrique 150+
Azam tv 5 (azam 1&2 azam sport hd 1,2,3)
Movies ni nyingi saana latest

Ila kabla hujanunua natoa link ya Buree ambayo utaitumia kwa masaa 24 kuona hizo chaneli kama utalidhika nazo basi ndio tutafanya biashara,kwa Tsh.9,000/=
 
Attachments

  • 20240920_175023.jpg
    20240920_175023.jpg
    244.8 KB · Views: 17
Tumia Yacine kama tv ina android
Mkuu mimi nimeshindwa kuinstall yacine app kwenye tv.
Tv ni Hisense ya Vidaa, ina App store sio play store.
Kwenye App store Yacine tv haipo, nimejaribu install kwa kutumia chrome nimechemsha.
 
Huwezi kuweka kwenye vidaa, hapo nunua tv box ya android ama tafuta links za tv za kawaida M3U halafu weka ott player apps.

Sema kuweka 3rd party apps kwenye vidaa kunahitaji uzoefu kidogo. Tv yako ni ya kabla 2021 ama baada?
 
Tv nii ya 2023.
 
Tv nii ya 2023.
Hii 3rd party store

Hapo kuna app mbili muhimu
1. Ott player hio yenye neno mod
2. Lampa

Ott inakuwezesha kuweka chanells za ku angalizia mpira kama una url

Lampa unaangalia movies na tv kama una mb za kutosha, inahitaji parser na torrserver matrix.

Kutumia hio store tumia web browser ya tv yako weka hio adress.
 
Mm
Binafsi nahusika na uuzaji wa Online TV (IPTV)
Katika SmartTv pia na Smartphone

Kifurushi cha mwezi ni Tsh.9,000/=
Hapo kuna
Live tv 23,000+
Movies 10,000+
Series 10,000+

Chaneli nyingi za ulaya,America,Africa n.k
Chaneli za DSTV 180+
Canal Afrique 150+
Azam tv 5 (azam 1&2 azam sport hd 1,2,3)
Movies ni nyingi saana latest

Ila kabla hujanunua natoa link ya Buree ambayo utaitumia kwa masaa 24 kuona hizo chaneli kama utalidhika nazo basi ndio tutafanya biashara,kwa Tsh.9,000/=
Nahitaji
 
Naihitqji mkuu.
 
Back
Top Bottom