Jodoki Kalimilo
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 12,559
- 11,180
Unaitwa huku na Chief-Mkwawa ili akusaidiewakuu kwa wenye Smart Tv inawezekana kustream ? Maana naonaga kuna apps zimeandikwa IPTV kuzitumia ndio sifahamu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaitwa huku na Chief-Mkwawa ili akusaidiewakuu kwa wenye Smart Tv inawezekana kustream ? Maana naonaga kuna apps zimeandikwa IPTV kuzitumia ndio sifahamu
Mkuu umetumia app gani kupata channel za bein tv kwa smart tv?View attachment 2537119
Nipo hapa nakula mpira kweny 4K safi
Tumia Yacine kama tv ina androidMkuu umetumia app gani kupata channel za bein tv kwa smart tv?
Mkuu mimi nimeshindwa kuinstall yacine app kwenye tv.Tumia Yacine kama tv ina android
Huwezi kuweka kwenye vidaa, hapo nunua tv box ya android ama tafuta links za tv za kawaida M3U halafu weka ott player apps.Mkuu mimi nimeshindwa kuinstall yacine app kwenye tv.
Tv ni Hisense ya Vidaa, ina App store sio play store.
Kwenye App store Yacine tv haipo, nimejaribu install kwa kutumia chrome nimechemsha.
Tv nii ya 2023.Huwezi kuweka kwenye vidaa, hapo nunua tv box ya android ama tafuta links za tv za kawaida M3U halafu weka ott player apps.
Sema kuweka 3rd party apps kwenye vidaa kunahitaji uzoefu kidogo. Tv yako ni ya kabla 2021 ama baada?
Hii 3rd party storeTv nii ya 2023.
NahitajiBinafsi nahusika na uuzaji wa Online TV (IPTV)
Katika SmartTv pia na Smartphone
Kifurushi cha mwezi ni Tsh.9,000/=
Hapo kuna
Live tv 23,000+
Movies 10,000+
Series 10,000+
Chaneli nyingi za ulaya,America,Africa n.k
Chaneli za DSTV 180+
Canal Afrique 150+
Azam tv 5 (azam 1&2 azam sport hd 1,2,3)
Movies ni nyingi saana latest
Ila kabla hujanunua natoa link ya Buree ambayo utaitumia kwa masaa 24 kuona hizo chaneli kama utalidhika nazo basi ndio tutafanya biashara,kwa Tsh.9,000/=
Naihitqji mkuu.Binafsi nahusika na uuzaji wa Online TV (IPTV)