hahaha always done
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 1,439
- 2,442
Kama kichwa Cha habari kinavyosema ndugu wapendwa,nipende kusisitiza, nyakati kama hizi wanasiasa wengi wanashinda kwa waganga wakitoa Kila aina ya kafara, wanachinja ili kuteka utashi wako kwa Kila namna, wanajua unapozungumzia energy,chanzo chake ni utashi, hivo wanaenda huko ,wanaomba kwa Kila aina ya roho ovu, ili tu wanapotokea mbele Yako utashi wako ulale, this time utashangaa hata yule mwanasiasa ambae ulijua ni mkatili, akitokea mbele Yako unamuona ni kama mwema hivi ,na anafaa kujaribiwa Tena,
Sasa nikupe Siri, Siri ambayo wengi hawaijui, kura hufanyika mwilini, ila matokeo ya rohoni ni ya dhati mnoo, ikiwa kura Yako utaikabidhi kwa Mungu mwenyewe na kumwambia"Mimi kura yangu ni kwa ajili ya flani,na si flani,na sababu ni hizi,mfano sijaridhika na utendaji wake ,amesababisha wanawake wajawazito wafe sana kijijini kwetu wakati alikuwa na nafasi,amekura pesa za masikini, lakini pia amemuua mwanae ili tu apite uchaguzi, hivo Mungu wangu wa rohoni ,ninakuomba ikiwa maoni yangu ni hayana tija kwako, na apite, ila kinyume na hapo ,ninaomba akilazimisha kupitia ,basi na apate changamoto yoyote itakayomtoa, na hii yote ni ili tu,jina lako litukuzwe,
Wewe ni Mungu wa wote, unatoa kwa wote, nakuomba usimamie haki, Kijiji hichi ulikiumba kwa ajili ya Kila aliyepo mahari hapa, na ndio maana wewe hupendezwa na Kila na aliye na uhai, nakuomba basi kura yangu ikawe kadili ya upendo wako juu ya Kijiji hichi, na kinyume na hapo kura yangu ikabebe hasira Yako kwa yeyote aliye kinyume na mapenzi Yako juu ya Kijiji hichi.
Jina lako liabudiwe
Baada ya hapo kapige kura alafu Rudi kulala, yajayo utayafurahia,
NB, haki ya mtu huanzia rohoni,
Kujuta, kutubu kushukuru na kutoa, ni misingi ya kufanya mara zote usipoteze haki Yako,bila hata kurusha ngumi au jiwe